Jana nilipita sehemu nikakuta kuna ubishani mkubwa sana hivi tofauti ya mfanya biashara na mjasiliamali ni ipi
Jana nilipita sehemu nikakuta kuna ubishani mkubwa sana hivi tofauti ya mfanya biashara na mjasiliamali ni ipi
Tofauti itakuwepo, ngoja tuwasubiri wanaofahamu watujuze. maana watu kama bakharesa au reginard mengi huwezi kuwaita wajasiliamali!
Follow Us Here