Najua itakuwa ngumu kueleweka kwa urahisi kwa sababu baadhi ya makabila hayawezi kutenganisha kati ya R na L.
Hivyo naomba mwenye utalaamu mzuri wa kuelezea aweze kunisaidia kwa faida yangu na wenginewengi, huwa napata tabu sana kwenye hizi herufi.Asanteni