Matokeo ya mitihani wa darasa la saba yametoka na Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwa kufaulisha ukifuatiwa na jiji la kitalii, mkoa wa Arusha. Cha kushangaza ni kwamba idadi kubwa ya waliofaulu hawatapata nafasi ya kuendelea na masomo ya kidato cha kwanza. Je hilo ni tatizo la nani? Na kama wengi hawatapata nafasi ya kuendelea na masom kuna maana gani ya kufaulu?

Hilo ni tatizo la Professor Maghembe kutangaza vita wakati hata rungu hana
"If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his language, that goes to his heart." Nelson Mandela
matokeo ya mitihani wa darasa la saba yametoka na mkoa wa dar es salaam umeongoza kwa kufaulisha ukifuatiwa na jiji la kitalii, mkoa wa arusha. Cha kushangaza ni kwamba idadi kubwa ya waliofaulu hawatapata nafasi ya kuendelea na masomo ya kidato cha kwanza. Je hilo ni tatizo la nani? Na kama wengi hawatapata nafasi ya kuendelea na masom kuna maana gani ya kufaulu?
....kwa mwendo huu nina shaka na mkakati wa serikali kwamba wanafunzi wote wanaohitimu elimu ya msingi waende sekondari,sidhani kama itafanikiwa......
Tanzania bado ha2japata viongoz ambao wapo commited haswa na maendeleo ya elimu.hivi ni kweli serikali imeshindwa kuweka mazingira ya kuingiza sekondari watoto wote waliofaulu darasa la saba?kamwe sitaki kuamini hilo kwani viongozi wetu ni watu wa anasa mno na kujijali wenyewe huku wakiwaacha watoto wa 'small peasants' wakikosa kwenda shule...!
Follow Us Here