Matokeo ya mitihani wa darasa la saba yametoka na Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwa kufaulisha ukifuatiwa na jiji la kitalii, mkoa wa Arusha. Cha kushangaza ni kwamba idadi kubwa ya waliofaulu hawatapata nafasi ya kuendelea na masomo ya kidato cha kwanza. Je hilo ni tatizo la nani? Na kama wengi hawatapata nafasi ya kuendelea na masom kuna maana gani ya kufaulu?

Reply With Quote

Follow Us Here