Inasemekana kuwa matokeo ya kidato cha nne hutoka kabla ya mitihan ya form 6 na mitihani inaweza anza tarehe 8 so tar 6 au 7 it will be out!
Inasemekana kuwa matokeo ya kidato cha nne hutoka kabla ya mitihan ya form 6 na mitihani inaweza anza tarehe 8 so tar 6 au 7 it will be out!
Hyo kweli watoe watu wajue wanaanzia wapi coz wazazi na watoto saihv hofu zimewajaa.
poleni mnaosubiri kwa hamu.
Wala msiwe na shaka serikali itafanya any means msifeli si unajua mambo ya kustandadize?
toeni matokeo jamani,au mnayachakachua//
Tutayatangaza mda sio mrefu..vuteni subira kidogo.
kila mtu atavuna alichopanda.subira tu ndugu.
Heading yako ina-suggest kuwa unajua tarehe yatakapotangazwa, kumbe ....
My IGNORANCE amuses me!
Yani hamna umuhimu wakutoa tetesi zozote hapa Jf maana kila m2 wa hapa ni anatoa kichwani kwake kwa ku gesi 2! Na bwana matumbo czani kama ni mtu wa kumuamini kilichopo nikusubiria 2! Na watu humu mctoe k2 bila uchunguzi zaidi! Tokeo lita toka 2 hyo ni lazma so 2subirieni 2!
Msiwe na presha coz hadi kufikia kesho yatakuwa yametanganzwa.
Follow Us Here