jamani naomba kuuliza matokeo ya kidato cha nne 2011 yatatangazwa lini naomba msaada wenu wakubwa
jamani naomba kuuliza matokeo ya kidato cha nne 2011 yatatangazwa lini naomba msaada wenu wakubwa
leo usiku sikiliza majira RTD
Vuta subira, tafuta kazi ya kufanya hata kama kuuza mbogamboga mtaani kwako, itakuweka busy huku ukitafuta ada ya kuanza nayo f.v
UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE
bado ka wiki mbili tu*
Usiwe na presha mkuu kwani matokeo hivi soon yatakua on air, hope dat u wil make gud nd perfect, so dont b afraid.
sawa mkuu
Tutawatangazia Jumanne.
Baada ya kutoka matokeo ambayo mlikuwa mnayauliza,jf mbona kimya?
Hahahahahaha!haya sasa 2likuwa 2nayalilia matokeo c haya hapa sasa yameshatoka?mbona mpo kmya?
Hahahahahaha!haya sasa 2likuwa 2nayalilia matokeo c haya hapa sasa yameshatoka?mbona mpo kmya? NECTA IMETUUMBUA.
dottoz acha tu rafki yngu,watu walikuwa prssr juu mara ooh...wametucheleweshea lkn sasa hvi imekuwa n sir ya kila m2! Hyo ndo 2liyangojea mana'ke wngne walthbutu kuwakashfu hata necta,mara cjui lowassa kayanunua matokeo,haya sasa kuangalia pamoja na kuprint sasa jaman tujulishane mavuno hapa waungwana wa JF!
Follow Us Here