Kama kuna mtu ambae anafahamu ubora au udhaifu na sifa mbalimbali za hiki chuo,naomba anisaidie ukilinganisha na soko la ajila la sasa
Kama kuna mtu ambae anafahamu ubora au udhaifu na sifa mbalimbali za hiki chuo,naomba anisaidie ukilinganisha na soko la ajila la sasa
Hawa awatanii,na hawana mchezo,madesa na kucheat hayana nafasi.
Practically wako serious, wanajifunza na kujiandaa kuingia ktk soko la ajira na kujiajiri. Tofauti kabisa na engineering ya UD
Wanatoka na GPA kubwa kubwa.over
mimi sio student wa pale ila kwa wanaosoma pale wanakisif mno...ni kizur sana..maswala ya gpa kama unasoma utakosa gpa kubwa kwa nini??? swala c ugum wa pepa,swala ni kichwani kuna nini haswa kwenye practicals!! ni chuo kizur huo ndo ukwel>>
Kama Utaki acha usiende tafuta kwengine dogo,jipime kichwani maana....nasikia hapo Hakuna kulala na lecturer ili upate paper wala kununua paper ili utoke...pia full kubanwa muda wote upo class ma lecturer wanapishana mlangoni na attendance madent wanaitwa majina kama we wa kujirusha usiende,ki utendaji ofisin wako poa,kuna vijana tuko nao hapa kwetu,wameshiba haswa wanapiga kazi kweli wanaonekana wametoka kusoma sio kujirusha
Samahani wadau,hiki chuo kimeanzishwa lini?Kipo dar sehemu gani?
Dogo kwa Engineering Faculty wako Dar maeneo ya Kibamba,ila hizo faculty nyingine nasikia mikoani...wadau watakuja kukujuza zaidi humu
div 4 au 3 mbaya fresh tu pale
Haya wale wadogo zangu mliopangiwa vyuo
University of Dar es Salaam - Tanzania - Home - for UD
Welcome to St.Joesph University In Tanzania for St.Joseph Univ
Home - The Institute of Finance Management for IFM
ARUSHA TECHNICAL COLLEGE : Skills make the difference for Arusha Tech
Tumaini University - Iringa University College for Tumaini
SAINT AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA for St.Augustine Univ
St.John's University of Tanzania for St.John Univ
Dar es Salaam Institute of Technology for DIT
wengine watamalizia...Thanks,Masomo mema.
Wakubwa. hampaswi kuogopa kuhusu ni wapi mtakapo pangwa kusoma au ni kozi gani mtakaochaguliwa. Muhumi kuweka nguvu katika kile utakachopata. kila kazi ina maslahi, provided you will be committment. Mind you, LIFE HAS NO FORMULAE.
Chuo bora hakijitangazi kwenye TV hata kama ni cha private, so to me St Joseph kitakuwa na walakini, why kwenye TV?
There is a saying in aviation "You haven't crashed until you've crashed. Until then, keep flying the plane".
Follow Us Here