| Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 (permalink) | |||
|
||||
|
Views: 170
|
||||
|
|||
|
Kama ni nanasi hili hili tunalolijua linapandwa hivi;
Nanasi likisha toa tunda lake halifi,bali huto machipukizi (suckers),haya machipukizi hayatokei chini kama mgomba ufanyavyo bali yanatokea kama matawi kutoka ktk nanasi mama.Lile chipukizi huanza kutoa mizizi hata kabla halijaondolewa toka nanasi mama,lakini mizizi hiyo imefichwa na maganda. Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kunyofoa chipukizi toka nanasi mama na kuondoa maganda yanayozuia mizizi isionekane, kisha unapanda ktk udongo kama tunavyopanda miche mingine. Nisamehe bure kama nimetoa maelezo yasiyotosheleza swali lako. |
| The Following 2 Users Say Thank You to Malila For This Useful Post: | ||
Tanzania2020 (20th November 2008), Utamaduni (26th November 2008) | ||
|
|||
|
Unalijua nanasi lilivyo likiwa either shambani au sokoni? hebu lielezee ili iwe rahisi kukuelewesha jinsi ya kuliotesha.
__________________
|
|
|||
|
naona malila keshakujibu.
__________________
|
| The Following User Says Thank You to Tanzania2020 For This Useful Post: | ||
Utamaduni (26th November 2008) | ||
![]() |
| Bookmarks |
| Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests) | |
| Thread Tools | |
| Display Modes | |
|
|
Similar Threads
|
||||
| Thread | Thread Starter | Forum | Replies | Last Post |
| Mtoto apata Ukimwi baada ya kula Nanasi | BadoNipo | Habari/Hoja mchanganyiko | 11 | 11th September 2008 02:15 PM |
| Mtoto apata HIV baada ya kula Nanasi | BadoNipo | JF Doctor | 17 | 11th September 2008 08:56 AM |
| aids huweza ambukizwa na matunda??? | Mtaalam | JF Doctor | 20 | 23rd December 2007 11:26 PM |
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!