ilipofika saa tatu wametengwa kulingana na ulicho apply.wakaingia ndani.wakagawa paper la mtihani.mda masaa mawili.
maswali kwa watu wa HR yalikuwa mchanganyiko;
mathematics!economics,english na maswali ya HR.hapakuwepo kiswahili.maswali yalikua ya kuchagua na kujieleza.walikuwepo wasimamizi wa mitihani.
watakaopass ndo wataitwa kwenye oral interview.hawajasema wataita baada ya mda gani.watu walikua zaidi ya elfu2.watu wameingia kwenye paper saa3,5 na saa nane.na kesho wengine watafanya.ni hayo tu.roger

Reply With Quote


MEANS; DOING THE BEST YOU CAN WITH WHAT YOU HAVE.
Follow Us Here