JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Orodha ya vvyuo vikuu 400 bora duniani: Kunani afrika mashariki???

  Report Post
  Results 1 to 7 of 7
  1. Njelekela's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 11th October 2011
   Posts : 5
   Rep Power : 517
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Orodha ya vvyuo vikuu 400 bora duniani: Kunani afrika mashariki???

   Katika orodha ya Vyuo Vikuu Bora 400 Duniani (THE TOP 400 World Universities 2011/12)iliyotolewa hivi karibuni na The Times Higher Education (THE) World Universities Ranking HAKUNA HATA CHUO KIMOJA TOKA AFRIKA MASHARIKI...! Nini maana yake? Nini tatizo? Nini kifanyike?

   Vigezo 13 vinatumika vikiwemo research, teaching, citations, etc.
   Soma hapa: timeshighereducation.co.uk/world-university-rankings/2011-2012/africa.html


  2. Gad ONEYA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th October 2010
   Posts : 2,645
   Rep Power : 1099
   Likes Received
   159
   Likes Given
   653

   Default Re: Orodha ya vvyuo vikuu 400 bora duniani: Kunani afrika mashariki???

   Mind you, rankings are inherently subjective....

  3. Engager's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th January 2011
   Posts : 319
   Rep Power : 618
   Likes Received
   45
   Likes Given
   1

   Default Re: Orodha ya vvyuo vikuu 400 bora duniani: Kunani afrika mashariki???

   Jama tukaeni 2some.

  4. CR wa PROB's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st September 2011
   Posts : 172
   Rep Power : 553
   Likes Received
   27
   Likes Given
   45

   Default Re: Orodha ya vvyuo vikuu 400 bora duniani: Kunani afrika mashariki???

   Wanaotufundisha wenyewe wamekariri!!!

  5. Njelekela's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 11th October 2011
   Posts : 5
   Rep Power : 517
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Orodha ya vvyuo vikuu 400 bora duniani: Kunani afrika mashariki???

   Pengine kweli ni 'subjective' na sio fair kama inavyosemwa na wasomi wengi hasa wa nchi zilizo katika nafasi za chini. Lakini, ngoja niorodheshe vigezo vilivyotumika kupata orodha hii na tuone kipi si sahihi kutumika katika kupanga, HASA VYUO VYETU. Nitaviweka kwa lugha waliypitumia wao na asilimia zake kwenye mabano.

   1. Teaching: The learning environment (30%)

   2. Research: Volume, Income and Reputation (30%)

   3. Citations: Research influence (30%)

   4. Industry Income: Innovation (2.5%)

   5. International Outlook: Staff, Students and Research (7.5%)

   Ni kigezo kipi ambacho wanazuoni wa Kitanzania wasemacho sio sahihi kuvi-rank vyuo vyetu? Tuache kujitetea na tuliangalie hili katika ukweli wake na kulitafutia ufumbuzi.


  6. gango2's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st August 2011
   Location : From Moshi
   Posts : 844
   Rep Power : 690
   Likes Received
   290
   Likes Given
   193

   Default Re: Orodha ya vvyuo vikuu 400 bora duniani: Kunani afrika mashariki???

   umekosa kazi wewe

  7. TWIZAMALLYA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st October 2011
   Location : NG'WAMAGUNGULI
   Posts : 399
   Rep Power : 597
   Likes Received
   72
   Likes Given
   155

   Default Re: Orodha ya vvyuo vikuu 400 bora duniani: Kunani afrika mashariki???

   Ukweli ni huo,vyuo vyetu elimu ni duni, hii inachangiwa na vitu vingi likiwemo swala la masilahi. Kwa sababu ya masilahi duni wanayopata wahadhiri wa vyuo vikuu Afrika,Muda mwingi wanatumia katika kufikiria masilahi yao tu badala ya kuboresha taaluma kwa ujumla.Serikali za kiafrika zinashauriwa kuwekeza zaidi katika hili.


  Similar Topics

  1. Kati ya vyuo vikuu bora 400 duniani cha Afrika ni kimoja!
   By tatanyengo in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 15
   Last Post: 18th September 2015, 20:16
  2. Replies: 31
   Last Post: 15th September 2015, 21:57
  3. Orodha ya kambi za jeshi la Marekani duniani
   By Noti mpya tz in forum International Forum
   Replies: 26
   Last Post: 12th October 2011, 09:31
  4. Kenya yaongoza ubora wa vyuo vikuu afrika mashariki
   By KWELIMT in forum Kenyan Politics
   Replies: 1
   Last Post: 10th June 2011, 17:33
  5. Jiji bora afrika mashariki.
   By spencer in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 29
   Last Post: 20th December 2010, 13:02

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...