JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Sifa za kujiunga na vyuo vya kilimo na afya

  Report Post
  Results 1 to 6 of 6
  1. Yes or No's Avatar
   Member Array
   Join Date : 26th August 2009
   Posts : 39
   Rep Power : 634
   Likes Received
   6
   Likes Given
   1

   Default Sifa za kujiunga na vyuo vya kilimo na afya

   Wakuu naomba kufahamishwa sifa za kujiunga na vyuo vya Kilimo na Afya ngazi ya Cheti na Diploma ambavyo vipo chini ya NACTE. Nimepitia websites za NACTE na wizara husika sijaona - kuna orodha ya vyuo tu na vyuo vyenyewe havina websites. Wizara ya Mifugo na Elimu ndio bado matangazo yao yapo na unaweza pata sifa hizo.

   Natanguliza shukran.


  2. john petro's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 25th January 2013
   Posts : 3
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Sifa za kujiunga na vyuo vya kilimo na afya

   Mkubwa ucwe mshamba c tafuta.Au umetumwa nn?

  3. kidogodogo's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 26th March 2012
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Sifa za kujiunga na vyuo vya kilimo na afya

   Helo
   Niandikie kiswahili au jf ni kwa wanaojua kiingereza tu.

  4. Kayandakayanda's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 8th August 2013
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   Ni kwel c wana jf wote wanajua kingereza.ila fanya ujifunze ingalau coz ya miez3 mana cku hz bla kujua kngereza....,.

  5. Sheko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2013
   Posts : 290
   Rep Power : 501
   Likes Received
   23
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By kidogodogo View Post
   Helo
   Niandikie kiswahili au jf ni kwa wanaojua kiingereza tu.
   Mjibuni jamaa anachotaka sio mnatoka nje ya mada


  6. fred beng's Avatar
   Member Array
   Join Date : 31st March 2013
   Posts : 48
   Rep Power : 449
   Likes Received
   1
   Likes Given
   1

   Default Re: Sifa za kujiunga na vyuo vya kilimo na afya

   afya ngaz ya chet unatakiwa uwe na DDD katika pcb ila math na kingereza ni sifa ya ziada pia chet chako cha kidato cha 4 kioneshe 28 points ya div 4


  Similar Topics

  1. Ujazaji wa form za Board ya Mikopo kwa wanaotaka kujiunga na vyuo
   By Chona in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 5
   Last Post: 26th January 2013, 11:47
  2. Matokeo ya walochaguliwa kujiunga vyuo vya ualimu
   By Vanpopeye in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 4
   Last Post: 6th August 2012, 10:35
  3. Waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2010/2011-saut
   By Njowepo in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 2
   Last Post: 20th September 2010, 11:50
  4. Maombi ya kujiunga vyuo vikuu Tanzania sasa kwa 'message'
   By Mwenda_Pole in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 3
   Last Post: 22nd January 2010, 02:34
  5. Maombi ya kujiunga vyuo vikuu sasa kwa 'message'
   By Bujibuji in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 5
   Last Post: 20th January 2010, 12:07

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...