Jaman hv matokeo ya wizara ya afya yatatoka lin? Maana tushachoka kusubiri!
Jaman hv matokeo ya wizara ya afya yatatoka lin? Maana tushachoka kusubiri!
Matokeo ya mtihani, vipimo vya ugonjwa au nini? Sasa hata kama unataka usaidiwe taarifa utasaidiwaje kama hujui kujieleza?
Loosing is a starting point to success
Some ppo did application on nursing,clinical medicine via ministry of health...xo anauliza matokeo when?this year yamechelewa kuliko
Nenda wizarani kaulizie idara ya mafunzo utapata majibu yako pale.Some ppo did application on nursing,clinical medicine via ministry of health...xo anauliza matokeo when?this year yamechelewa kuliko
tunasubiria matokeo
Kwanlivyo uliza wanasema mpaka tar kumi na za mwezi wa tisa.
Hapo kazi ipo tusubiri tu mtaani nako sio wanaojua kinachoendelea basi watujuze.
good updates!
Naomben kama kuna m2 anajua kachuo chochote kenye nafac za clical oficer anjuze akhasanten
kunatetesi kuwa wameweka tangazo pale wizarani kuwa selection zitachelewa kidogo mpaka wiki ya pili ya mwezi wa kumi. kama utaweza kupitia hapo wizarani kacheck ili uwe na uhakika upunguze mhemko.
"ACHA KAZI UONE ILIVYO KAZI KUPATA KAZI"
" MTAANI"
Matokeo mpaka tar 15 oct
jamaani mbona matokeo ya afya yatatokalini? mbona kimya
Jamani nimesubiri sasa nishachoka na kuamua kwenda chuo cha ualimu.
Follow Us Here