Kiini cha suplementary dept. Ya sociology - Page 2 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Education, Science & Technology Forums > Jukwaa la Elimu (Education Forum)

Jukwaa la Elimu (Education Forum) Educational discussions in here... If you have some College/School materials and you wanna give them to your fellows pls do that favour to them. Let them get educated here! Become a Member to enjoy more stuffs

Reply
 
LinkBack (1) Thread Tools Display Modes
Old 20th August 2008, 03:46 PM  
Kiini cha suplementary dept. Ya sociology
nguogani nguogani is offline 20th August 2008, 03:46 PM

HI JEFF, nimejiunga rasmi leo ingawa nimekuwa msomaji wa mada mbalimbali kwenye hii forum. kilichonikuna ni mada ya sipo kuhusu sup hapo UDSM. kusema kweli imenigusa sana na nimesoma michango ya watu, kuna ya kuipa credit na kuna ya kuipuuza, ndio uhuru wa kusema huu. nianze kusema nami ni muathirika wa tatizo hili na si kweli kuwa hatusomi kama baadhi ya washiriki walivyosema ingawa ni kweli kuna ambao dhahiri hawasomi lakini haina maana ya kufanya generalization. kuna mambo makuu ninayotaka kusema:
1. sup ni kawaida na sehemu ya shule lakini kinachotokea hapa ni sup za lazima na za kukomoana baina ya lecturer na mwanafunzi, kwasababu mwalimu huyu toka mwanzo wa semister anasema ya kuwa hakuna wa kupata B+ hapa na kweli matokeo yakitoka ndivyo ilivyo. je hii ni sahihi kwenye ufundishaji?
2. somo la huyu mwalimu sio gumu kiasi hicho na kwa wale wanaokumbuka zamani lililkuwa likifundishwa na hayati Prof. Chachage na historia inaonyesha wanafunzi walielewa na aliyefeli alikubali kuwa mzembe. sasa huyu mwalimu toka apokee ni kilio na kusaga meno
3. hoja ya kusoma vitabu kwa huyu mwalimu sio sahihi kwani tulikuwa tunafuata mbinu zake zote za usomaji alizotaka yeye lakini kwakuwa alishapanga kukamata alikuwa haoni hivyo vitabu kwenye scripts wakati wa kusahihisha.
4. huyu sipo na mimi au wengine sio tunalalamika ila tunataka watanzania wajue kuwa kuna walimu wachache wanaharibu mfumo wa elimu Tanzania kwa malengo yao binafsi na kuyafanya maisha ya watoto wa maskini kuwa magumu, hata wale wanaojitahidi kwa kila hali.
5. tabia ya kukemea kwa huyu mwalimu pia ni kuwa na uhusiano na baadhi ya wanafunzi ambapo hudiriki hata kuwapa matokeo kabla hayajawa released. hii tumefanya uchunguzi na tunaongea kwa ushahidi madhubuti na sio bla bla.
6. kuhusu ku-appeal, jamani nyie sijui mnaujua ukweli kuhusu kuappeal, procedure ni nzuri lakini uhalisia sio hivyo. mwalimu huyu huyu anakwambia katika social sciences hakuna appeal na ukijaribu tu ni lazima udondokee pua. je nani wa kudhubutu. ebu fanyeni uchunguzi kabla ya kushauri jamani
7. halafu kuhusu dept kurudisha heshima yake, hivi heshima inakuja kwa kufelisha? mbona dept ya PSPA inaheshima yake kubwa tu na haijapatikana kwa kufelisha. hata dept ya GEOGRAPHY hipo juu sana kwa heshima ingawa sio kwa kufelisha.
8. halafu jamani hata mkuu wa dept ya sociology DR. MVUNGI, ABUU A.K alikuwa na kozi ngumu sana kuliko hata ya huyu DR lakini watu walisoma na wametoka waliokamatwa wanakiri kweli walifanya mistake sehemu fulani fulani.
9. jamani hakuna wanafunzi wanaosoma siku hizi kama dept ya sociology, hii ni kutokana na nature ya walimu lakini bado walimu wanawakamata vibaya mno. jaribuni kuangalia ratiba ya supllimentary hipo pale utawala inatisha sana upande wa hii dept. na hii inasababishwa na walimu kujisifu wanapokamata wanfunzi wengi kuliko wengine
10. hivi mnaposema degree sio vyeti mnamaanisha nini? M.A tutasomaje na GPA za 2.6 na 3.0 wakati vyuo vingine wanapata 3.5 mpaka 3.9. jamani elimu bongo inarudi nyuma. na kazi siku hizi zinapatikana kwa GPA nzuri na sio una nini kichwani, na mwajiri ataamini vipi una mambo kichwani wakati una GPA ya 2.0? GPA za sociology zinatisha sana na tutabaki tung'aa sharubu mtaani tu na wenye pesa ndio watakaosoma M.A ulaya kwa mapesa yao.

mwisho wanaoharibu shule zaidi ni ASSISTANT LECTURER na TUTORIALS nenda kafanye uchunguzi UDSM wana mademu kila seminar anayosimamia. wanawapendelea washkaji na mademu zao kwa kuwapa coursework za juu wakati wale wanao-toil library wanapata 2 ya 10.

SITULALAMIKI KWANI SUP LAZIMA NIFANYE NA NAAMINI NITATOKA TU ILA NINATOA HALI HALISI KWANI INAUMA SANA KUBANIWA WAKATI ULISTAHILI KUPITA NA KUFANYA MAMBO MENGINE YA KIMAISHA.

nguogani
Junior Member
Points: 67,153, Level: 100 Points: 67,153, Level: 100 Points: 67,153, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
Join Date: Wed Aug 2008
Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Views: 1395
Reply With Quote
  #11  
Old 22nd August 2008, 10:04 AM
Faith Faith is offline
Faith has no status.
Member
Points: 90,559, Level: 100 Points: 90,559, Level: 100 Points: 90,559, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Wed Jul 2008
Posts: 47
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Faith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enough
Default Re: Kiini cha suplementary dept. Ya sociology

Quote:
View Post
Looool wa karibu yangu anasoma Sociolgy hapo Udsm....chonde chonde nyie waalimu mkigusa hapo tutafikishana mbali....taafadhali sana

mmmmmmmmmmmmmm may be kashaguswa mana kina MWA.. balaa kwa vitoto vya watu!..usihofu wanakutunzia!
(utani)lol
Reply With Quote
  #12  
Old 22nd August 2008, 10:13 AM
Fidel80's Avatar
Fidel80 Fidel80 is offline
Fidel80 > Muosha huoshwa
JF Premium Member
Points: 796,676, Level: 100 Points: 796,676, Level: 100 Points: 796,676, Level: 100
Activity: 100% Activity: 100% Activity: 100%
 
Join Date: Sat May 2008
Location: UVUNGUNI
Posts: 7,283
Thanks: 493
Thanked 936 Times in 644 Posts
Rep Power: 36
Fidel80 will become famous soon enoughFidel80 will become famous soon enoughFidel80 will become famous soon enoughFidel80 will become famous soon enoughFidel80 will become famous soon enoughFidel80 will become famous soon enoughFidel80 will become famous soon enoughFidel80 will become famous soon enough
Default Re: Kiini cha suplementary dept. Ya sociology

Quote:
View Post
Kama yuko mwaka wa kwanza bado hawajammega ila mwaka wa 2 na 3 hatapona
kwi kwi kwi!
Duh hapo kazi sasa kwa hiyo mrembo mzuri hapo MLIMANI lazima wakubwa wammege??Dah bora kuoa kijijini uzindue mwenyewe.
__________________
Ukiuza utumbo usiogope nzi.
Chuda Raha

Email: fidel80@jamiiforums.com
Reply With Quote
  #13  
Old 22nd August 2008, 10:14 AM
Faith Faith is offline
Faith has no status.
Member
Points: 90,559, Level: 100 Points: 90,559, Level: 100 Points: 90,559, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Wed Jul 2008
Posts: 47
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Faith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enough
Default Re: Kiini cha suplementary dept. Ya sociology

ila kuna mwanamama yeye klas alikua naingia mara 2 kwa semister lkn du kukamata balaa(nimemsahau kidogo nikimkumbuka nitamtaja ila alikua anafundisha research)

huyu nimemkumbuka anaitwa DR. MWAIPOPO hivi bado yupo??
yeye alikua kutwa kwenye research zake, akirudi test tena anarudi karibu na UE kwa kukamata nae alikua tishio ila alikua fair mana anakamata kwakua watu hawana cha kujibu kwenye pepa lake!kisa yeye hayupo klas so hakuna anachofundisha hadi mwishonimwishoni mwa semister ndo anakuja!hapo unategemea nn..kwakweli alikua 'anawavua' sana 'samaki'
alikua anakamata yaani alikua anakimbizana na mwami
ntarudi tena
Anaitwa NYONI huyu mama, ni noma kwanza haingii darasani, halafu test zake multiple choice na fill in the blanks...

Nyoni kipindi chetu was just tutorial assistant alikua anamshikiashikia MUSOKE ila seminar zake watu walikua wanamkimbia mana kimeo alikua
Reply With Quote
  #14  
Old 22nd August 2008, 10:49 AM
MwanajamiiOne MwanajamiiOne is offline
MwanajamiiOne has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 497,129, Level: 100 Points: 497,129, Level: 100 Points: 497,129, Level: 100
Activity: 47% Activity: 47% Activity: 47%
 
Join Date: Thu Jul 2008
Location: TANZANIA
Posts: 2,660
Thanks: 1,731
Thanked 828 Times in 488 Posts
Rep Power: 27
MwanajamiiOne will become famous soon enoughMwanajamiiOne will become famous soon enoughMwanajamiiOne will become famous soon enoughMwanajamiiOne will become famous soon enoughMwanajamiiOne will become famous soon enoughMwanajamiiOne will become famous soon enoughMwanajamiiOne will become famous soon enoughMwanajamiiOne will become famous soon enough
Default Re: Kiini cha suplementary dept. Ya sociology

Duh kwa stahili hii kweli Department imeoza..... sasa tufanye nini ? tatizo ni nini? je sheria za chuo za kazi zikoje? kwa nini walimu hawa wanaidharau kazi inayowapa kunya kiasi hiki?
__________________
The Past is lost to you forever and the future is not yet yours. Now is the Only time you own. Use it wisely........ Maria Fontaine
Reply With Quote
  #15  
Old 22nd August 2008, 02:20 PM
Belo's Avatar
Belo Belo is online now
Belo is back
JF Senior Expert Member
Points: 217,670, Level: 100 Points: 217,670, Level: 100 Points: 217,670, Level: 100
Activity: 9% Activity: 9% Activity: 9%
 
Join Date: Mon Jun 2007
Location: Nakahuga
Posts: 1,777
Thanks: 72
Thanked 70 Times in 55 Posts
Rep Power: 26
Belo will become famous soon enoughBelo will become famous soon enoughBelo will become famous soon enoughBelo will become famous soon enoughBelo will become famous soon enoughBelo will become famous soon enoughBelo will become famous soon enoughBelo will become famous soon enough
Send a message via Yahoo to Belo
Default Re: Kiini cha suplementary dept. Ya sociology

Nimesikia MISANYA nae wakati anasoma alikuwa kilaza ila Marehemu Prof. Chachage alimbeba
__________________
There is only one football club in Manchester-Ricardo Kaka
Reply With Quote
  #16  
Old 22nd August 2008, 03:29 PM
Faith Faith is offline
Faith has no status.
Member
Points: 90,559, Level: 100 Points: 90,559, Level: 100 Points: 90,559, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Wed Jul 2008
Posts: 47
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
Faith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enoughFaith will become famous soon enough
Default Re: Kiini cha suplementary dept. Ya sociology

Quote:
View Post
Nimesikia MISANYA nae wakati anasoma alikuwa kilaza ila Marehemu Prof. Chachage alimbeba
habari ndio hiyo ndugu yaani kilaza balaa/kuliko, mbaya zaidi kilaza hadi sasa!yaani ukiskia maprofesa uchwara wa baadae mmojawapo yeye
ntarudi ngoja nifanye kazi kidoooooooogo
Reply With Quote
  #17  
Old 22nd August 2008, 04:03 PM
Sipo's Avatar
Sipo Sipo is offline
Sipo is self-assured
JF Senior Expert Member
Points: 359,135, Level: 100 Points: 359,135, Level: 100 Points: 359,135, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Fri Jul 2008
Location: SIPAJUI
Posts: 2,167
Thanks: 382
Thanked 430 Times in 293 Posts
Rep Power: 26
Sipo will become famous soon enoughSipo will become famous soon enoughSipo will become famous soon enoughSipo will become famous soon enoughSipo will become famous soon enoughSipo will become famous soon enoughSipo will become famous soon enoughSipo will become famous soon enough
Default Re: Kiini cha suplementary dept. Ya sociology

wewe FAITH nani kakwambia baadae tutakuwa na MAPROF kama akina CHACHAGE, MUSHI, HAROUB HOUTHMAN, SHIVJI, MGOGO FIMBO na wengineo,,,kama wapo basi wachache sana,,, hawa wa kuvaa cheni na kuja darasani hakuna lolote,,,, lakini kuna akina DR. KAMATA, NG''WANZA na wengine very few they know what they are doing,,,

GEMBE na MAMA MIA jamani hamjaiona hii ya NGUOGANI,,,????
Reply With Quote
  #18  
Old 23rd August 2008, 12:51 PM
Mushobozi's Avatar
Mushobozi Mushobozi is offline
Mushobozi has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 166,787, Level: 100 Points: 166,787, Level: 100 Points: 166,787, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Mon Aug 2007
Location: Buzwagi
Posts: 405
Thanks: 3
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 23
Mushobozi will become famous soon enoughMushobozi will become famous soon enoughMushobozi will become famous soon enoughMushobozi will become famous soon enoughMushobozi will become famous soon enoughMushobozi will become famous soon enoughMushobozi will become famous soon enoughMushobozi will become famous soon enough
Default Re: Kiini cha suplementary dept. Ya sociology

poleni wadogo zangu. inasikitisha ila wewe kuwa mwaminifu kama bado unasoma. ninaomba kuwa mwanadini kuwa 'mungu alichokuifadhia kinaweza kucheleweshwa ila hakiwezi kunyang'anywa na mtu yeyote"
__________________
NI HERI NIISHI KAMA BINADAMU ASIYERIDHIKA
KULIKO KUISHI KAMA NGURUWE ALIYERIDHIKA

Though pressed and crooked against walls
I will die fighting back
Reply With Quote
  #19  
Old 23rd August 2008, 01:47 PM
Magobe T Magobe T is offline
Magobe T has no status.
JF Senior Expert Member
Points: 255,455, Level: 100 Points: 255,455, Level: 100 Points: 255,455, Level: 100
Activity: 7% Activity: 7% Activity: 7%
 
Join Date: Wed Mar 2008
Location: I'm based in Dar es Salaam
Posts: 957
Thanks: 209
Thanked 150 Times in 103 Posts
Rep Power: 63
Magobe T is a jewel in the roughMagobe T is a jewel in the roughMagobe T is a jewel in the roughMagobe T is a jewel in the roughMagobe T is a jewel in the roughMagobe T is a jewel in the roughMagobe T is a jewel in the roughMagobe T is a jewel in the roughMagobe T is a jewel in the roughMagobe T is a jewel in the roughMagobe T is a jewel in the rough
Default Re: Kiini cha suplementary dept. Ya sociology

Quote:
View Post
HI JEFF, nimejiunga rasmi leo ingawa nimekuwa msomaji wa mada mbalimbali kwenye hii forum. kilichonikuna ni mada ya sipo kuhusu sup hapo UDSM. kusema kweli imenigusa sana na nimesoma michango ya watu, kuna ya kuipa credit na kuna ya kuipuuza, ndio uhuru wa kusema huu. nianze kusema nami ni muathirika wa tatizo hili na si kweli kuwa hatusomi kama baadhi ya washiriki walivyosema ingawa ni kweli kuna ambao dhahiri hawasomi lakini haina maana ya kufanya generalization. kuna mambo makuu ninayotaka kusema:
1. sup ni kawaida na sehemu ya shule lakini kinachotokea hapa ni sup za lazima na za kukomoana baina ya lecturer na mwanafunzi, kwasababu mwalimu huyu toka mwanzo wa semister anasema ya kuwa hakuna wa kupata B+ hapa na kweli matokeo yakitoka ndivyo ilivyo. je hii ni sahihi kwenye ufundishaji?
2. somo la huyu mwalimu sio gumu kiasi hicho na kwa wale wanaokumbuka zamani lililkuwa likifundishwa na hayati Prof. Chachage na historia inaonyesha wanafunzi walielewa na aliyefeli alikubali kuwa mzembe. sasa huyu mwalimu toka apokee ni kilio na kusaga meno
3. hoja ya kusoma vitabu kwa huyu mwalimu sio sahihi kwani tulikuwa tunafuata mbinu zake zote za usomaji alizotaka yeye lakini kwakuwa alishapanga kukamata alikuwa haoni hivyo vitabu kwenye scripts wakati wa kusahihisha.
4. huyu sipo na mimi au wengine sio tunalalamika ila tunataka watanzania wajue kuwa kuna walimu wachache wanaharibu mfumo wa elimu Tanzania kwa malengo yao binafsi na kuyafanya maisha ya watoto wa maskini kuwa magumu, hata wale wanaojitahidi kwa kila hali.
5. tabia ya kukemea kwa huyu mwalimu pia ni kuwa na uhusiano na baadhi ya wanafunzi ambapo hudiriki hata kuwapa matokeo kabla hayajawa released. hii tumefanya uchunguzi na tunaongea kwa ushahidi madhubuti na sio bla bla.
6. kuhusu ku-appeal, jamani nyie sijui mnaujua ukweli kuhusu kuappeal, procedure ni nzuri lakini uhalisia sio hivyo. mwalimu huyu huyu anakwambia katika social sciences hakuna appeal na ukijaribu tu ni lazima udondokee pua. je nani wa kudhubutu. ebu fanyeni uchunguzi kabla ya kushauri jamani
7. halafu kuhusu dept kurudisha heshima yake, hivi heshima inakuja kwa kufelisha? mbona dept ya PSPA inaheshima yake kubwa tu na haijapatikana kwa kufelisha. hata dept ya GEOGRAPHY hipo juu sana kwa heshima ingawa sio kwa kufelisha.
8. halafu jamani hata mkuu wa dept ya sociology DR. MVUNGI, ABUU A.K alikuwa na kozi ngumu sana kuliko hata ya huyu DR lakini watu walisoma na wametoka waliokamatwa wanakiri kweli walifanya mistake sehemu fulani fulani.
9. jamani hakuna wanafunzi wanaosoma siku hizi kama dept ya sociology, hii ni kutokana na nature ya walimu lakini bado walimu wanawakamata vibaya mno. jaribuni kuangalia ratiba ya supllimentary hipo pale utawala inatisha sana upande wa hii dept. na hii inasababishwa na walimu kujisifu wanapokamata wanfunzi wengi kuliko wengine
10. hivi mnaposema degree sio vyeti mnamaanisha nini? M.A tutasomaje na GPA za 2.6 na 3.0 wakati vyuo vingine wanapata 3.5 mpaka 3.9. jamani elimu bongo inarudi nyuma. na kazi siku hizi zinapatikana kwa GPA nzuri na sio una nini kichwani, na mwajiri ataamini vipi una mambo kichwani wakati una GPA ya 2.0? GPA za sociology zinatisha sana na tutabaki tung'aa sharubu mtaani tu na wenye pesa ndio watakaosoma M.A ulaya kwa mapesa yao.

mwisho wanaoharibu shule zaidi ni ASSISTANT LECTURER na TUTORIALS nenda kafanye uchunguzi UDSM wana mademu kila seminar anayosimamia. wanawapendelea washkaji na mademu zao kwa kuwapa coursework za juu wakati wale wanao-toil library wanapata 2 ya 10.

SITULALAMIKI KWANI SUP LAZIMA NIFANYE NA NAAMINI NITATOKA TU ILA NINATOA HALI HALISI KWANI INAUMA SANA KUBANIWA WAKATI ULISTAHILI KUPITA NA KUFANYA MAMBO MENGINE YA KIMAISHA.
Pole sana ndugu Nguogani. Hiyo hali inatisha sana. Nashauri njia hii - inaweza kusaidia. Unaweza kukusanya malalamiko yote na yaandikwe vizuri kama [COLOR="Blue"anonymous letter[/COLOR].

Lakini inabidi iandikwe ikielezea matatizo yote kwa namna ambayo mwandishi anaomba mamlaka ya juu iyafanyie kazi. Huenda wakuu wa juu wataanza kufuatilia kwa vile watakuwa na 'clue' ya yale yanayoendelea kwa huyo njemba wa sociology. Huenda ameshachoka kufundisha na hapendi aondoke mwenyewe kwa hiyo anataka aondolewe.

Try that and we'll see. Hata kama huna hakika kama njia hii itasaidia, ni vizuri kujaribu kuliko kushindwa kujaribu kabisa! Who knows! Inaweza ikafanya kazi.
Reply With Quote
  #20  
Old 24th August 2008, 09:18 PM
miguubaja miguubaja is offline
miguubaja has no status.
Member
Points: 72,696, Level: 100 Points: 72,696, Level: 100 Points: 72,696, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Tue Aug 2008
Location: Tanzania
Posts: 34
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0
miguubaja will become famous soon enoughmiguubaja will become famous soon enoughmiguubaja will become famous soon enoughmiguubaja will become famous soon enoughmiguubaja will become famous soon enoughmiguubaja will become famous soon enoughmiguubaja will become famous soon enoughmiguubaja will become famous soon enough
Default Re: Kiini cha suplementary dept. Ya sociology

Jamani mi naona hapa Dar waajiri waangalie vingi kwani for sure GPA za wadau wa sociology zimeharibiwa sana na hawa walimu wasiojali kabisa hata maisha ya wanafunzi wao ya badae!watu hawana dili za kuwa malecturer wanataka tu GPA zao waendelee na maisha yao.

For real Sociology inaboa hata kumshauri mtu ajiunge nayo kuna upuuzi mwingi!!

mademu vilaza sana lakini uliza sasa GPA zao mmmh masuala ya kurembua macho watu wanapeta!

Lakini poa tu keep on struggling mbona watu hawana hata degree lakini wanatoka!
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
cha, dept, kiini, sociology, suplementary

LinkBacks (?)
LinkBack to this Thread: http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/17011-kiini-cha-suplementary-dept-ya-sociology.html
Posted By For Type Date
KASI MPYA NGUVU MPYA NA ARI MPYA: January 2009 This thread Refback 22nd November 2009 04:53 PM

Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On

Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Azimio la Arusha kuzaliwa upya? Mwanagenzi Jukwaa la Siasa 313 14th December 2009 09:17 AM
Richmond + TANESCO: The complete deal Invisible Jukwaa la Siasa 121 20th October 2009 05:31 AM
Nidhamu ya Chama: Kiini cha Kudorora Viongozi wa CCM! Mzee Mwanakijiji Jukwaa la Siasa 94 13th May 2009 02:45 AM
Upinzani wa Kweli na Thabiti - What is the Plan? Taasisi Habari na Hoja mchanganyiko 6 17th February 2007 04:40 AM
Kiini cha Tatizo ni hiki... Mzee Mwanakijiji Jukwaa la Siasa 8 19th July 2006 05:02 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!

All times are GMT +3. The time now is 07:40 PM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com