Wakuu naomba msaada kwa anayejua majina ya walioomba postgraduate diploma chuo cha ustawi wa jamii yatatoka lini. Nimejaribu kutembelea website yao ili angalau nipate namba ya simu lakini naona iko suspended.

Pole xana,mie mwenyewe hapa nipo hooi
Kulikuwa na mgogoro kati ya chuo na baadhi ya wahadhiri ,chuo kimefunguliwa wiki iliyopita endelea kusubiri
Kitu ambacho mwanasiasa anasema ukweli ni jina lake tu
Mh!asante kwa kutupa moyo
me nasoma hapo..subir mtaitwa tu.
Mapengo..thank u kwa kutupa moyo.maana
Follow Us Here