Nimefanikiwa kupata haya tu ila kadri nitakavyofanikiwa nitayaweka hapajamvini,msisahau shkrani.
Nimefanikiwa kupata haya tu ila kadri nitakavyofanikiwa nitayaweka hapajamvini,msisahau shkrani.
Nenda hapa utapata majina yote
TCU yatoa Majina ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu 2011/2012 - Wavuti
MAKULILO
mimi nipo kijijini natumia simu kubrowse kwani huku hakuna internet cafe wala computer.na hizi PDF hazifunguki kwenye simu yangu ili niweze kusoma ili kujua kama nimechaguliwa.naomba msaada wenu ikiwezekana yaondoeni kwenye pdf ili tunaotumia simu nasi tufaidike
Naona vijana mmefulai sana
Ndugu zangu, naombeni msaada...naomba anayeweza kuniangalizia anitaarifu. Cna comp ninatumia c'mu.
na hii hapa kwa wale wa bodi ya mikopo Loan Allocation
" kuendelea kwa tanzania ni mara baada ya sisi kuacha ubinafsi!.. ''
**Maisha kama ndala yatakatika anytime. Mpoki**
Dah! Hal ni mbaya wapendwa.
Ingekuwa vizuri kama ukituma jina lako kamili.
Ina maana majina yaliopo group b hawatapata mkopo kabisa naomba mnieleweshe.
waliowekwa kwenye group b ni kwamba hawanamkopo inavyoonyesha angalia hawa
Mengine haya hapa. Wadau endeleeni kutuwekea kila mnavyoyapata, website ya TCU in traffic jam shida sana ku-dowload.
Naona walioomba second selection hawamo, vipi watatoa mara ya pili? mwenye taarifa atujuze.
Volunteers are not paid -- not because they are worthless, but because they're priceless!
Jamani nisaidieni nami jina ni Diana Fares kachaguliwa wapi na facult gani?
4024
S1754.0014.2008
FARES, DIANA
F
BEACE
UD056-Bachelor of Education in Adult and Community Education
UDSM
3,452,500.00
Follow Us Here