Nimefanikiwa kupata haya tu ila kadri nitakavyofanikiwa nitayaweka hapajamvini,msisahau shkrani.
Nimefanikiwa kupata haya tu ila kadri nitakavyofanikiwa nitayaweka hapajamvini,msisahau shkrani.
jamani mnaotoa majina toka tcu msiwadanganye watu maana huko mtaani watu wanalia hawajaona majina yao wakati huku mnaweka majina ya waliojiunga chuo mwaka jana yaani 2011-2012.si vizuri kwani watu wanasubiria 2012-2013 tunaomba msituchanganye wakubwa
jaman m n mgeni humu ndani najarbu kuangalia majina hayo ila c yaon naomben msaada naangaliaje
Kaka una2zngua na hzo in4mation zako bwana 2011/12 za nn humu?
jamani,,,,,,me cioni kbsa kbsa....dah
mkuu nicheck:Yusuph n Mbilinyi.
jamaa yuko sahh! Ukchek kwenye web ya tcu, utakuta new ya selected applicant 2012/2013
Follow Us Here