Nimefanikiwa kupata haya tu ila kadri nitakavyofanikiwa nitayaweka hapajamvini,msisahau shkrani.
Nimefanikiwa kupata haya tu ila kadri nitakavyofanikiwa nitayaweka hapajamvini,msisahau shkrani.
nyie ambao hamjapwekewa loan,kama mna vigezo mtarekebishiwa mcwe na hofu.loans board inatoa majina kwa awamu...
dah hawa jamaa wa bodi cjawalewa kwakweli...nina mdogo wangu wa kike alifaulu kwa daraja la pili..wazazi wote wamefariki mwaka jana, kwenye maombi ya mkopo tumeambatanisha vyeti vya vifo cha ajabu hawajampa mkopo eti sababu ''no priority". Nimekosa raha kabisa.
<br /><br />
<br /><br />
aisee ka unaweza naomba n2mie. [email protected]
aaaagh tcu ni michosho sana tu, hata web yao wanashindwa ku maintain
kama kuna mtu hajaona jina lake aseme nimwangalizie fasta......
Jaman niangalizieni jina langu,morris d.wambura,
Kama mwaka jana yalitoka mwez september,hawa wa mwaka huu wana kihere here cha nin?
Kwa nini hii imekuwa public info?
Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.
Dah hii post imenipa mkojo kweli kweli.
Mbona yanaonyesha ni ya 2011/12
Acheni kuwapa presha wenzenu,mambo bado
Aisee, nimesikitika sana, nimehangaika kutafuta majina ya wadogo zangu hora, kumbe 2011? Aliyekumbushia uzi huu sijui tumpe adhabu gani, lakini pia wasomaji, tujitahidi kuangalia uzi ni wa lini, umeanzishwa lini na nani, itatusaidia kuepuka matatizo kama haya.
Duh, kidogo nimpe pole mdogo wangu kwa kukosa kuchaguliwa. Ujinga mtupu
UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE
Follow Us Here