Jamni nimesikia TCU Wametoa matokeo ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu hatimaye....
Jamni nimesikia TCU Wametoa matokeo ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu hatimaye....
just statistics! wait-coming soon.
Majina yaliyoorodheshwa ni wale waliokosa nafasi na wameombwa kuapply upya kama bado wanahitaji.
'Our Problems can be solved,our challenges can be met'- Obama
hivi tcu ina kazi gani kama si mpango wa kula 30000 zetu za bure..i think vyuo vingeachwa vichague wanafunz vyenyewe...in short sioni kazi yake ila n kampango kaliko buniwa na wajanja wachache wale pesa kiulain na hakuna lolote zaidi...
jaman hivi mikopo mpaka lini?
Follow Us Here