Hivi inamaana tcu hawajatoa kitu? Mbona leo kunamtu ananieleza wametoa? Au CHENGA TUPU?
Hivi inamaana tcu hawajatoa kitu? Mbona leo kunamtu ananieleza wametoa? Au CHENGA TUPU?
Mimi nina swali. Kama wanafunzi wote tumeomba kupitia tcu ndo tunaitegemea itoe selections kabla ya vyuo husika. Je imekuwaje IFM wao wametoa? Na je kwa huyu aliyechaguliwa ifm akiingia kwenye acount yake tcu na kufungua selections results yeye anajibiwaje? Maana cc 2mezoea na kukutana na neno SORRY...........
[QUOTE=Frank nzoka;2358547]Mimi nina swali. Kama wanafunzi wote tumeomba kupitia tcu ndo tunaitegemea itoe selections kabla ya vyuo husika. Je imekuwaje IFM wao wametoa? Na je kwa huyu aliyechaguliwa ifm akiingia kwenye acount yake tcu na kufungua selections results yeye anajibiwaje? Maana cc 2mezoea na kukutana na neno SORRY....................selec tion results are not yet published!
Guys web ya udom ina load 4 28hrs nw.. Myb wana updat matokeo. O ts only n ma side? F ts 4 all a hop myb m0ndy 2naweza c s0me changs...
wanajamii hebu nisaidieni hapa!mwanzo prog zang zilkuwa nane,bt baadae nlipologin nikakuta sita(TOTAL RECORDS 6),Kwa maana mbl za mwanz hazipo,sasa ni nn maana ya hii k2?au ndo kusm kuw ktk zile mbl za mwanz mi simo tn au ndo zp kweny mchakato wa kushindanishwa na nilioomba nao?tuwekane sawa wana jf.
nipo net since nun but hizo post hazionekan
Follow Us Here