Hey guys, nimesikia matokeo yatatoka tarehe 4 mwezi wa 8.. Hawa jamaa mbona wanatufanyia hivi? Sipendi ahadi za uongo, walisema yatatoka ktk wiki ya kwanza mwezi wa saba, mpaka leo hamna kitu!

Last edited by Apollo; 4th August 2011 at 17:05.
Kama umefaulu fresh ya nin uwe na wasiwasi dogo?chuo utapata 2
Tena hyo yangu ni ya HGE ntapata chuo eh?
Follow Us Here