Makerere University is tenth
best in Africa - In2EastAfrica
3 Feb 2011 … The top nine
universities are in south Africa,
with the University of Cape
Town at number one. …
in2eastafrica.net > Home > Life,...
Makerere University is tenth
best in Africa - In2EastAfrica
3 Feb 2011 … The top nine
universities are in south Africa,
with the University of Cape
Town at number one. …
in2eastafrica.net > Home > Life,...
Nategemea vilaza wa UDSM wanaodanganza kwamba chuo chao ni bora,wataingia kwa kasi na hasira kwenye thread hii,kama kawaida ya wataanza kwa vijembe na mipasho
Usianzishe uchawi humu we unaanza kwa kasi hivyo je unajua ni the Best for what? . Sikatai ila ningependa kujua ubest huu umepimwa kwa vigezo vipi.
Je ni the best kwa huduma zao kwa ujumla?
au ni the best kwa kuwa na wahadhiri competent?
au ni the Best kwa kutoa the best graduates?
au ni the best kwa kuwa wamesoma watu wengi maarufu kipindi kile vyuo vikiwa vichache?
Au ni the best kwa kufanya research ambazo zimeleta breakthrough katika matatizo sugu ya wanadamu?
Au ni the best kwa kuwa na majengo mazuri?
Ningeridhika zaidi kama ningejua vigezo vilivyotumika ili na mimi nijiridhishe kuwa vyuo vyangu vikuu nilivyosoma havikunisaidia kwani nimekuwa nikikutana na colleagues kutoka Makerere katika mikutano na warsha mbali mbali za humu na nje sijaona walichonacho kikubwa saaana zaidi yetu waTZ au ambao hatukusoma makerere.
jamaa katorokea wapi,! Njoo udefend haraka as soon as possible!
nyie vilaza mmeingia kwenye hiyo link na kusoma kilichomo,mjue ni best kwa lipi? Au ni wale wale wavivu wa kusoma mmezoea videsa afu mnathubutu kutembea vifua mbele kuwa nyie ni bora,someni kupitia hyo link ndio mje na hoja hapa.
Jamani heri ninyi mlio na digrii zenu mkononi. Hongereni kwa kuamini kuwa kila digrii mtu aliyonayo ni bora kuliko ya mwenzake. Mwafanya vyema. Lakini zingatieni kuwa hizi rankings zinafanywa na mashirika/makampuni mbalimbali kwa vigezo vyao walivyojiwekea na vigezo havilingani kwa wakati mmoja.
Hebu tembea links zifuatazo ili ujionee mwenyewe:
Ranking of African Universities on the web - Best Universities in Africa
Top universities, colleges in Africa 2011 - Top Study Links
www.4icu.org
Kwa leo yatosha, kila mmoja sasa ajipime chuo ulichosoma kinaonekana? Kazi ni kwenu wasomi!
Last edited by Makoye Matale; 20th July 2011 at 08:44.
'Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa' Hos. 4:6
mbona hamjibu hoja mnaishia kwenye vjembe na mipasho,ingieni kwenye hiyo link nliyowapa msome ndio mje na hoja zenu...la sivyo nazidi kuamini udsm ni makelele tu,hamna content
sometimes tuache ubishi,ni kweli UDSM in ya 34 na Makerere ya 10.
sasa wewe umeleta kuwaelimisha umma ama kuspark mipasho? back to topic makerere inaeleweka ni mojaawapo ya vyuo vikongwe na bora zaidi kwa ukanda wetu wa afrika mashariki. lakini pia umemanipulate data hebu toa complete data ikionesha rankings za vyuo vingine vya east africa ili tujue kama makerere wapo juu ni kwa kiasi gani wamewaacha wenzao
Hivi Tanzania ni UDSM tu,mbona hoja imeelekezwa huko, hakuna vyuo vikuu vingine vinavyopaswa kuwa evaluated pia?
mukandara akigundua kuwa ana mwanafunzi ambaw hajui ku-argue kwa hoja kama wewe atasikitika sana,nina imani umesha prove kuwa makerere ni the best,hata latest rankings za www.4icu.org,znaonesha nairobi university imeshaipita udsm,.sasa kazi ni kwako,..na ukae ukijua hamna organisation au kampun au govt inayoajiri kwa kuangalia university rankings,..kazi ni kwako kama mwanafunzi kujiboresha na kuwa nondo.
Follow Us Here