Naomba tukumbushane enzi za shule.
Mnamkumbuka walimu wa kuu MR Mndeme na kipigo chake na Mr amuri?
Pia muheshimiwa John komba alitufundisha siasa tukiwa darasa la 4 alivyo maliza jkt mafinga alikuwa mwembamba sana (mwalimu wa upe)
Naomba tukumbushane enzi za shule.
Mnamkumbuka walimu wa kuu MR Mndeme na kipigo chake na Mr amuri?
Pia muheshimiwa John komba alitufundisha siasa tukiwa darasa la 4 alivyo maliza jkt mafinga alikuwa mwembamba sana (mwalimu wa upe)
Zena Mkwawa naskia yupo Serena Hotel (zamani Movenpick)...
na wewe tusker baridi umekula chumvi kumbe! Kh kh kh kh! Mie tulikwa ma-LY (last year-std 7) mwaka 1993!
shambe yule dingi nae! Rip. Mungu amrehemu tu!
jiwe Gangiii
duh, wewe nani mkuu , PM
Last edited by LAT; 25th November 2011 at 15:16.
Gangilonga naikumbuka sana.namkumbuka sana mwl hassan(m'baku) na uwanja wa damu,gombe sugu.acha kabisa ilikuwa balaa yule mwalimu.nawakumbuka mwl kyambile,mwakalalile,matembo,m filinge na wengine wengi.wanafunzi niliosoma nao mimi ni shambe,julius ngatunga,sanura nurdin(mtt wa DD wa gangilonga),christina mwakangale,halima,nyamizi bila kumsahau wende jacob nyimbo,lista kulanga,doto na kulwa,catherine,judith beshobeza na wengine wengi.tulikuwa tunaenda sana jiwe gangi kula matunda pori.i real remember those times.kweli wakati ni moshi
Iringa kwa sasa Tancut ALMASI ni MAHAKAMA KUU...
Jamani Mwalimu Hellen wa Gangilonga...wakati huo alikuwa anakaa kati ya mtaa wa nyuma ya Chuo cha afya na ile silo ya NMC yuko wapi "alikuwa Mrembo saaana..."
Follow Us Here