habari zenu wana jf,
samahani naomba msaada wenu ili niweze kuelewa haya mambo.mimi nataka ku-apply chuo na napenda kusomea moja kati ya achtecture au building economics.,ila sijui kipi kina soko na opportunities zaidi,.naomba msaada.
asanteni
habari zenu wana jf,
samahani naomba msaada wenu ili niweze kuelewa haya mambo.mimi nataka ku-apply chuo na napenda kusomea moja kati ya achtecture au building economics.,ila sijui kipi kina soko na opportunities zaidi,.naomba msaada.
asanteni
Kwa maoni yangu vyote vina soko kwani Architect nad Quantity Surveyor (building Economist!) wanafanya kazi kwa pamoja. Zote mbili ni rahisi kujiajiri kuliko kozi nyingi nyingine ninazozifahamu.
Hata hivyo kwa mazingira ya hapa kwetu (bongo) nadhani Architects angalau wana soko zaidi kuliko kuliko QSs. Ni vema kuzingatia pia Architecture ni kozi ndefu (miaka 5) kuliko Building Economics (mostly 4 yrs).
"Rather than love, than money, than fame, give me truth" ----Thoreau
Architect reccomendend kwangu ujue sekta ya ujenzi bado changa sana kwetu. Ila yataka moyo kidogo miaka mitano chuo siuogope maisha taratibu na ndoto itatimia na utakuwa na uwezo wa kuajiriwa na kujiari mwenyewe
LIKE NOTHING HAPPENED.... AND LIFE GOES ON...
MHANDISI WA MFUMO WA UMEME /POWER SYSTEM ENGINEER -ANY ELECTRICAL ENGINEERING ISSUE YOU CAN CONSULT ME..
Architecture ina soko zaidi. Miaka mingi kuisoma (5). Soma architecture ni rahisi zaidi kuajiriwa na kujiajiri.
Bachelor of Architecture (B. Arch)
The Bachelor of Architecture (B. Arch.) offered by the School is a five years programme. The programme provides the required and necessary skills for the profession of architecture.
The course aims at training students in the organization of space, and the building process. It also aims at developing perception and rational thinking in finding solutions to design problems and construction of buildings. Design studios are supported by various architectural theory subjects through lectures. Gradually the complexity of the design studio increases from the first to final academic year. Seminars and group discussions are included in the B. Arch. Programme. A minimum of 200 units in five years of study must be passed for the award of B. Arch. Degree.
The main objective of the curriculum is to enable students to develop capacity to tackle design problems, to be creative, to manage building construction, to develop designedly ways of thinking and to be self-initiative within the discipline of architecture.-SOURCE ARDHI UNIVERSITY UNAWEZA FUATA HIYO LINKArdhi University - Tanzania: Courses offered
LIKE NOTHING HAPPENED.... AND LIFE GOES ON...
MHANDISI WA MFUMO WA UMEME /POWER SYSTEM ENGINEER -ANY ELECTRICAL ENGINEERING ISSUE YOU CAN CONSULT ME..
Nimesoma Architecture...nilikua arts zamani na ndicho kilinisukuma kuapply hii coz...sijuti kwakweli maisha ni simple! Nimejiajiri mwenyewe na nikiri tu Architecture ni nzuri na inalipa!
We are what we think. With our thoughts we make the world.
Vp kuhusu bachelor sciance in real estate,inadeal na nin hasa?
EGM anaweza somea hii kitu
HGE (II 12) na mwenye 'C' in Mathematics O LEVEL
anaweza akaApply
Building Economics.
architecture duh!, mwakipesile, lwemayanga, mosha mabangi, loh! jaza architecture mkuu ukakeshe na studio, mwaka wetu tulianza 54 tulimaliza 29 thou wengi walikimbia wenyewe, walio'disco ni watatu tu na wengine kurudia mwaka.
kibongobongo ukiwa kwenu mambo safi basi architecture utaisoma kwa raha zaidi.
"watakaotubeza na kututukana wasameheni wanahitaji ukombozi wa fikra" Mh.G.Lema
vp kuhusu civil engineering?
Follow Us Here