Thank you very much mkuu.....
This time website iko fasta na vijana wangu wa ilboru hawajaniangusha
But overall bado hatujawa vizuri sana
.....Ana sifa zote, nzuri na mbaya!!!
Thankx for quick info
Thanx much mkuu
LIKE NOTHING HAPPENED.... AND LIFE GOES ON...
MHANDISI WA MFUMO WA UMEME /POWER SYSTEM ENGINEER -ANY ELECTRICAL ENGINEERING ISSUE YOU CAN CONSULT ME..
Tufahamishane namna hizi points na divisions zinavyotolewa. Kuna mahali mtu ana pts 9 ni div I; na pengine ni div III , na pengine pts 8 ni div III.
Mfano halisi angalia matokeo ya Marian Girls.
Mkuu asante sana kwa link hizo maana tangu jana website ya necta ilichakachuliwa na nikaliwa 400/= za sms bila majibu.
Newton Bujiku @ Kibaha sec. Congratulations
Poa mkuu,ngoja tuwacheki madogo.
Tuliosoma IST hatuhusiki na NECTA.....BIG up kwa mashori woote tukutane IFM basi
...kuwa na baba maskini ni mipango ya Mungu ila kuwa na baba mkwe maskini ni ujinga wako mwenyewe.....
ahsante mkuu nimeona pia vijana wangu wa mzumbe hawajaniangusha, ingawa perfomance yake siyo kama ile ya enzi zetu,enzi za tanzania one marehemu wibonele mungu amlaze mahali pema peponi ameni.Tulikuwa chini ya headmaster T.D.K MSUKA kisha akaja mr mwasha.
Mkuu wa Mzumbe si unajua siku hizi leakage ya mitihani haipo kama enzi zenu? Madogo wanaumia kweli yaani hamna leakage hata kidogo huenda leakage ikianza kama enzi zenu watafaulu kama ninyi mkuu!!!
watoto hao wanakuja vyuoni
Asante Mkuu kwa taarifa ila shule nyingine bado kufeli ni kwa kasi zaidi. Bado naendelea kuwapongeza Marina Girls, Kifungilo, Kibosho, St. Mary Mazinde, etc na zile za Seminary Uru, Maua na St. James.
"Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"
Hv shule zipi zilizoongoza?
Follow Us Here