Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Bodi ya Mikopo (HELSB); Hii imekaaje?

    Report Post
    Results 1 to 9 of 9
    1. #1
      Hamisi M's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Posts : 7
      Rep Power : 421
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Bodi ya Mikopo (HELSB); Hii imekaaje?

      OLAS- mfumo huu wa kuomba mkopo kwa njia ya mtandao (internet) ni mzuri lakini hamkufanya upembuzi yakinifu kabla ya kuanzisha utaratibu huu kwa sababu zifuatazo;
      <1>% kubwa waTz wanaishi vijijini ambapo huduma za umeme ni tatizo na vijiji vingine hakuna umeme kabisa, je? Vyombo kama COMPUTER & SIM zenye uwezo wa internet vitaendeshwa na nini wakati umeme hakuna na hata mafuta kwa ajili ya kuendeshea jenereta yamekua ni kwaajili ya vibopa na si watoto wa masikini
      <2>mnaelewa wazi kuwa huduma za internet nchini mwetu bado zipo chini mno na si kila eneo unaweza kupata kupata huduma hizo mpaka uwende kwenye vibanda vya internet cafe ambavyo si kila eneo vinapatikana na si watu wote wanmiliki sim zenye uwezo wa internet.
      Ukweli ni kwamb wahitaji wengi wa kujaza form hizi wako vijijini, kitu ambacho itawawia vigum kukamilisha zoezi hili. Kwakuwa baadhi ya form hujazwa na kutumwa kwa njia ya post, basi na wale ambao wanaona njia hii ya internet inawawia vigum wangeruhusiwa kujaza form na kuzitma ktk utaratibu uliokuwa unatumika hapo awali.
      Ni hayo tu.
      WITO KWENU; ugawaji wa viwango vya mikopo (mean test) uwe wa haki na usawa na mikopo itolewe kwa wakati ili kuepusha migomo na matatizo mengine vyuoni, na pia itasaidia watoto wa wakulima ambao ni wadogo zake PINDA kusoma vizuri badala ya kuwaza njuluku ya punga na maharagwe ya mamantiliye wa Ubungo UDSM, Nyamarango SAUT, Usariva UOA, nk

      .

    2. #2
      Saint Ivuga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Posts : 20,741
      Rep Power : 10184
      Likes Received
      5679
      Likes Given
      12666

      Default Re: BODI YA MIKOP(heslb) HII IMEKAAJE

      hii ndio itakuwa catalyist yao kujua internet
      JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

    3. #3
      Hamisi M's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 3rd March 2011
      Posts : 7
      Rep Power : 421
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Ivuga View Post
      hii ndio itakuwa catalyist yao kujua internet
      Ndugu mazingira kama nilivyoeleza hapo juu si rafiki kwa internet, na wanafunzi wao kama wao hawana uwezo wa kutatua tatizo hili ispokuwa SIRIKALI. Je? Itakuwa katalyst ya kupelekea watoto wa masikini wasisome au vp?

    4. #4
      issah omary's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 14th August 2012
      Location : arusha
      Posts : 4
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      1

      Default Re: Bodi ya Mikopo (HELSB);

      nadhani umefika muda wa kwa serikali yetu kufanya maamuzi kwa manufaa ya watanzania na sio kuwakomoa watanzania kwa kuanzisha utaratibu unaowatesa watanzania wa maeneo ya vijijini

    5. #5
      king roja's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th May 2012
      Posts : 143
      Rep Power : 387
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Hamisi M View Post
      OLAS- mfumo huu wa kuomba mkopo kwa njia ya mtandao (internet) ni mzuri lakini hamkufanya upembuzi yakinifu kabla ya kuanzisha utaratibu huu kwa sababu zifuatazo;
      <1>% kubwa waTz wanaishi vijijini ambapo huduma za umeme ni tatizo na vijiji vingine hakuna umeme kabisa, je? Vyombo kama COMPUTER & SIM zenye uwezo wa internet vitaendeshwa na nini wakati umeme hakuna na hata mafuta kwa ajili ya kuendeshea jenereta yamekua ni kwaajili ya vibopa na si watoto wa masikini
      <2>mnaelewa wazi kuwa huduma za internet nchini mwetu bado zipo chini mno na si kila eneo unaweza kupata kupata huduma hizo mpaka uwende kwenye vibanda vya internet cafe ambavyo si kila eneo vinapatikana na si watu wote wanmiliki sim zenye uwezo wa internet.
      Ukweli ni kwamb wahitaji wengi wa kujaza form hizi wako vijijini, kitu ambacho itawawia vigum kukamilisha zoezi hili. Kwakuwa baadhi ya form hujazwa na kutumwa kwa njia ya post, basi na wale ambao wanaona njia hii ya internet inawawia vigum wangeruhusiwa kujaza form na kuzitma ktk utaratibu uliokuwa unatumika hapo awali.
      Ni hayo tu.
      WITO KWENU; ugawaji wa viwango vya mikopo (mean test) uwe wa haki na usawa na mikopo itolewe kwa wakati ili kuepusha migomo na matatizo mengine vyuoni, na pia itasaidia watoto wa wakulima ambao ni wadogo zake PINDA kusoma vizuri badala ya kuwaza njuluku ya punga na maharagwe ya mamantiliye wa Ubungo UDSM, Nyamarango SAUT, Usariva UOA, nk

      .
      Ni true mkuu. You are great thinker. Very good

    6. #6
      pitbull's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd September 2011
      Posts : 198
      Rep Power : 430
      Likes Received
      7
      Likes Given
      2

      Default Re: Bodi ya Mikopo (HELSB); Hii imekaaje?

      Kwa hiyo unatakaje we kilaza?

    7. #7
      Disgusted's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 2nd August 2012
      Posts : 5
      Rep Power : 347
      Likes Received
      0
      Likes Given
      2

      Default Re: Bodi ya Mikopo (HELSB); Hii imekaaje?

      Ajabu kweli watu wengine wana mawazo ya kijima kweli. Wakati dunia nzima inakwenda high-tech, huyu bwana anataka maform ya hardcopies. Tupishe tupite.

    8. #8
      SAMRICH1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th July 2011
      Posts : 1,283
      Rep Power : 656
      Likes Received
      213
      Likes Given
      133

      Default Re: Bodi ya Mikopo (HELSB); Hii imekaaje?

      nani kakwambia PINDA ni mtoto wa mkulima saivi kaka

    9. #9
      SAMRICH1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th July 2011
      Posts : 1,283
      Rep Power : 656
      Likes Received
      213
      Likes Given
      133

      Default Re: Bodi ya Mikopo (HELSB); Hii imekaaje?

      hahaha unataka tutme posta eeh?kweli wewe ni mbovu wa kufikiri

    Similar Topics

    1. Bodi ya mikopo
      By Mtende in forum Nafasi za Kazi na Tenda
      Replies: 16
      Last Post: 6th December 2011, 14:20
    2. Bodi ya mikopo waanza kuwapunguza nguvu wanaodai mikopo
      By Innoexp in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 23
      Last Post: 12th October 2011, 06:23
    3. Bodi ya mikopo
      By summa in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 8
      Last Post: 20th August 2011, 22:42
    4. Bodi ya mikopo
      By Nguchiro in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 0
      Last Post: 19th July 2011, 20:20
    5. Matokeo bodi ya mikopo.
      By nukta in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 9
      Last Post: 22nd October 2010, 23:18

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...