Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Nguvu ya umma yamuondoa mkuu wa chuo CBE.

    Report Post
    Results 1 to 3 of 3
    1. #1
      samirnasri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th November 2010
      Posts : 1,213
      Rep Power : 675
      Likes Received
      169
      Likes Given
      50

      Default Nguvu ya umma yamuondoa mkuu wa chuo CBE.

      Wafanyakazi wa chuo cha biashara waliunganisha nguvu kwa pamoja na kumkataa mkuu wa chuo hicho wiclief lugoe. Mkuu huyo anadaiwa kuondoa posho za nyumba, umeme na usafiri kwa wafanyakazi wote. Posho hizo zilianza kutolewa tangu mwaka 2003. Taarifa zinadai wafanyakazi walikesha wakisherehekea kutokana na kuondolewa kwa mkuu huyo ambaye amehamishiwa wizara ya viwanda na biashara.

    2. Miaka 50

    3. #2
      asakuta same's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st March 2011
      Posts : 2,526
      Rep Power : 986
      Likes Received
      660
      Likes Given
      429

      Default Re: Nguvu ya umma yamuondoa mkuu wa chuo CBE.

      Quote By samirnasri
      Wafanyakazi wa chuo cha biashara waliunganisha nguvu kwa pamoja na kumkataa mkuu wa chuo hicho wiclief lugoe. Mkuu huyo anadaiwa kuondoa posho za nyumba, umeme na usafiri kwa wafanyakazi wote. Posho hizo zilianza kutolewa tangu mwaka 2003. Taarifa zinadai wafanyakazi walikesha wakisherehekea kutokana na kuondolewa kwa mkuu huyo ambaye amehamishiwa wizara ya viwanda na biashara.
      kweli?

    4. #3
      samirnasri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th November 2010
      Posts : 1,213
      Rep Power : 675
      Likes Received
      169
      Likes Given
      50

      Default Re: Nguvu ya umma yamuondoa mkuu wa chuo CBE.

      Source: mwananchi tarehe 20/ 03/ 11

    5. RukaaJuu Final

    Similar Topics

    1. Replies: 33
      Last Post: 13th November 2011, 22:11
    2. Nguvu ya Umma yamshusha Katibu mkuu wa CCM juukwaani
      By Mkeshaji in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 44
      Last Post: 24th May 2011, 11:55
    3. Nguvu ya umma inakalibia kujidhihirisha chuo cha Ruaha hapa Iringa
      By DCONSCIOUS in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 10
      Last Post: 12th April 2011, 08:08
    4. Nguvu ya umma yamuondoa mkuu wa chuo CBE.
      By samirnasri in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 15
      Last Post: 24th March 2011, 13:31

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...