JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Waiochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 211

  Report Post
  Results 1 to 8 of 8
  1. tumain ernest's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th February 2011
   Posts : 12
   Rep Power : 544
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Waiochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 211

   Jamani naombeni mnisaidie hivi lini watatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2011? Maana nimesubiri hadi nimechoka.naombeni msaada wenu


  2. ndume's Avatar
   Member Array
   Join Date : 10th January 2011
   Posts : 69
   Rep Power : 561
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Waiochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 211

   Shusha kwenye jukwaa hili utapata jibu kuna mtu ameuliza swali kama lako amepewa majibu yatakusaidia.

  3. KILITIME's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 17th November 2009
   Posts : 248
   Rep Power : 657
   Likes Received
   16
   Likes Given
   14

   Default Re: Waiochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 211

   nashindwa kukuelewa maana ya kushusha kwenye jukwaa hili tafadhali nielezee vizuri! ndugu yangu ndume kwa kuzingatia hili ni swala la wengi sana.
   Last edited by KILITIME; 15th March 2011 at 18:00.

  4. pmwasyoke's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th May 2010
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 3,426
   Rep Power : 1290
   Likes Received
   687
   Likes Given
   647

   Default Re: Waiochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 211

   Subira yavuta heri

  5. Rugas's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th January 2009
   Location : Arusha,Tanzania
   Posts : 1,044
   Rep Power : 861
   Likes Received
   177
   Likes Given
   1

   Default Re: Waiochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 211

   Quote By tumain ernest View Post
   Jamani naombeni mnisaidie hivi lini watatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2011? Maana nimesubiri hadi nimechoka.naombeni msaada wenu

   Km umefanya vizuri F4 wasiwasi wa nini? Wakimaliza kupanga,yatatangazwa tu,hata iwe mwezi june,na utapangiwa pa kwenda.Km una C mbili tu,usisubiri matokeo we tafuta ya tatu ili uweze kwenda private school.  6. dedam's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th January 2011
   Posts : 801
   Rep Power : 769
   Likes Received
   143
   Likes Given
   67

   Default

   Quote By tumain ernest View Post
   Jamani naombeni mnisaidie hivi lini watatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2011? Maana nimesubiri hadi nimechoka.naombeni msaada wenu
   uwe unachungulia mara kwa mara hapa www.moe.go.tz

  7. Bizzly's Avatar
   Member Array
   Join Date : 3rd May 2010
   Posts : 58
   Rep Power : 595
   Likes Received
   4
   Likes Given
   0

   Default Re: Waiochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 211

   wadau kilichokuwa kikisubiriwa kwa muda mrefu ndo kama kinavyosomeka kwenye viambatanisho.
   Attached Files

  8. Emma M.'s Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th May 2009
   Posts : 207
   Rep Power : 675
   Likes Received
   5
   Likes Given
   6

   Default Re: Waiochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 211

   Quote By Bizzly View Post
   wadau kilichokuwa kikisubiriwa kwa muda mrefu ndo kama kinavyosomeka kwenye viambatanisho.
   Amina,
   Nimefurahi sana wadau.


  Similar Topics

  1. Waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano 2011
   By Chona in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 12
   Last Post: 2nd April 2012, 01:14
  2. Waliochaguliwa kidato cha tano 2011
   By Emma M. in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 17
   Last Post: 30th March 2012, 14:04
  3. waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2011
   By dedam in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 0
   Last Post: 16th March 2011, 22:24
  4. Majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano mwaka huu 2011 yanatoka lini?
   By Bizzly in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 1
   Last Post: 8th March 2011, 14:08
  5. Majina ya waliochaguliwa kuingia kidato cha tano
   By Invisible in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 14
   Last Post: 31st March 2009, 21:39

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...