JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Chuo kikuu cha bagamoyo

  Report Post
  Results 1 to 2 of 2
  1. howard's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st February 2011
   Posts : 188
   Rep Power : 586
   Likes Received
   25
   Likes Given
   15

   Default Chuo kikuu cha bagamoyo

   JAMANI NILIANGALIA CHANNEL 10 ASUBUHI MNA TAARIFA KJUNA CHUO KIKUU KINAANZISHWA KIPYA JINA NI KAMA NILIVYOTAJA HAPO JUU CHINI YA LHRC
   Baraza la wadhamini linaongozwa na Askofu Sendoro
   Makamu mkuu wa chuo : Prof. COSTA MAHALU
   nAIBU MAKAMU MKUU : PROF. SENGONDO MVUNGI
   NA WENGINEO
   Ni chuo cha uongozi Tanzania na maswala ya kiingereza pia yatafundishwa kwa umakini mkubwa wanadai.
   Wanasema Africa hakuna viongozi na wao wanataka kufundisha viongozi wa ukweli,pia wanataka wanafunzi wao wawe competitive kwenye soko la ajira africa na duniani kwa ujumla.
   Nawakilisha rasmi.


  2. bibikuku's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th February 2011
   Posts : 823
   Rep Power : 714
   Likes Received
   477
   Likes Given
   336

   Default Re: Chuo kikuu cha bagamoyo

   Hivi ndo umejua leo??? Pole sana. na ofisi yao ipo Mikocheni palepale zilipo ofisi za OXFORD. Karibu sana ukajionee.


  Similar Topics

  1. Wanaosoma Chuo cha sanaa Bagamoyo wanapata mkopo?
   By Konzogwe in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 2
   Last Post: 23rd February 2015, 13:24
  2. Replies: 20
   Last Post: 19th May 2011, 03:38
  3. Replies: 13
   Last Post: 18th May 2011, 17:40
  4. Chuo kikuu cha dar es salaam
   By semausikike in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 8
   Last Post: 24th April 2011, 03:38
  5. Migomo chuo kikuu
   By sirday in forum Utambulisho (Member Intro Forum)
   Replies: 6
   Last Post: 13th January 2011, 19:34

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...