JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Angalia hapa matokeo kidato cha nne 2010 - tanzania

  Report Post
  Results 1 to 13 of 13
  1. Kisendi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2009
   Posts : 640
   Rep Power : 8202455
   Likes Received
   107
   Likes Given
   22

   Default Angalia hapa matokeo kidato cha nne 2010 - tanzania

   SITE YA NECTA INASUMBUA
   TUMIA HIIIIIII
   http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm

  2. funzadume's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th January 2010
   Location : Kwenye Uchafu/Uozo
   Posts : 4,642
   Rep Power : 7454506
   Likes Received
   1162
   Likes Given
   1173

   Default Re: Angalia hapa matokeo kidato cha nne 2010 - tanzania

   Service Unavailable
   All good things in the World are not things

  3. kakuruvi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd September 2009
   Posts : 639
   Rep Power : 757
   Likes Received
   145
   Likes Given
   73

   Default Re: Angalia hapa matokeo kidato cha nne 2010 - tanzania

   Quote By funzadume View Post
   Service Unavailable
   Bila shaka server yako imezidiwa jaribu tena, kinachosababisha ni watu wengi wanatazama, mtandao unazidiwa uwezo, bonyeza hapa

   http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm

  4. Mgombezi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2009
   Posts : 630
   Rep Power : 775
   Likes Received
   157
   Likes Given
   139

   Default Re: Angalia hapa matokeo kidato cha nne 2010 - tanzania

   Quote By Kisendi View Post
   SITE YA NECTA INASUMBUA
   TUMIA HIIIIIII
   http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm
   Asante Kisendi; toka jana najaribu kufuatilia matokeo ya ndugu yangu lakini website ya NECTA naona imeelemewa, lakini hata hii link uliyotoa bado insumbua. Kuna yeyote ambae amebahatika kuwa na results katika format ya Excel or pdf.
   Ebenezer

  5. BLUE BALAA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th November 2010
   Posts : 897
   Rep Power : 746
   Likes Received
   97
   Likes Given
   0

   Default Re: Angalia hapa matokeo kidato cha nne 2010 - tanzania

   Aisee asante sana, let me try this one
   "Goals are dreams we convert to plans and take action to fulfill." - Zig Ziglar

  6. Mgombezi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2009
   Posts : 630
   Rep Power : 775
   Likes Received
   157
   Likes Given
   139

   Default Re: Angalia hapa matokeo kidato cha nne 2010 - tanzania

   Quote By Mgombezi View Post
   Asante Kisendi; toka jana najaribu kufuatilia matokeo ya ndugu yangu lakini website ya NECTA naona imeelemewa, lakini hata hii link uliyotoa bado insumbua. Kuna yeyote ambae amebahatika kuwa na results katika format ya Excel or pdf.
   Hatimaye nimefanikiwa, asante sana.
   Ebenezer

  7. Twinky's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th June 2010
   Posts : 115
   Rep Power : 609
   Likes Received
   22
   Likes Given
   47

   Default Re: Angalia hapa matokeo kidato cha nne 2010 - tanzania

   Kwa kweli inasumbua haifunguki toka asubuhi nafanya kazi hiyo tu

  8. TIMING's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Roaming...
   Posts : 21,841
   Rep Power : 923038
   Likes Received
   7107
   Likes Given
   8213

   Default Re: Angalia hapa matokeo kidato cha nne 2010 - tanzania

   nimetafuta shule for the last one hour sijaiona... hivi hakuna hata uwezekano wa kuweka option ya search jamani??

   Basi wawape kazi JF wawatengenezee program nzuri yani hii haijakaa user friendly kabisa
   ....Time is the wisest counselor !!!

  9. Abdulhalim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th July 2007
   Location : 67P
   Posts : 17,017
   Rep Power : 85903773
   Likes Received
   1771
   Likes Given
   801

   Default Re: Angalia hapa matokeo kidato cha nne 2010 - tanzania

   Quote By MTM View Post
   nimetafuta shule for the last one hour sijaiona... hivi hakuna hata uwezekano wa kuweka option ya search jamani??

   Basi wawape kazi JF wawatengenezee program nzuri yani hii haijakaa user friendly kabisa
   Tumia 'Ctrl+ F' halafu ingiza jina la shule.

   Should work for PC.
   "...I pull 'em these hoes with my eyes closed..."

  10. TIMING's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Roaming...
   Posts : 21,841
   Rep Power : 923038
   Likes Received
   7107
   Likes Given
   8213

   Default Re: Angalia hapa matokeo kidato cha nne 2010 - tanzania

   Quote By Abdulhalim View Post
   Tumia 'Ctrl+ F' halafu ingiza jina la shule.

   Should work for PC.
   thanks, got it! huu ushamba wa computer utatuua
   ....Time is the wisest counselor !!!

  11. Desidii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2007
   Location : Endaharghadat
   Posts : 1,205
   Rep Power : 967
   Likes Received
   77
   Likes Given
   53

   Default Re: Angalia hapa matokeo kidato cha nne 2010 - tanzania

   Ubarikiwe sana mkuu nimeona matokeo ya mwanangu ana div 2. Thank you
   Act Justly, Love Mercy and Walk Humbly!!!!

  12. Njowepo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Santiago
   Posts : 8,575
   Rep Power : 22382
   Likes Received
   1250
   Likes Given
   1121

   Default Re: Angalia hapa matokeo kidato cha nne 2010 - tanzania

   Mkuu nimetumia iyo altenative nimefanikiwa angalau madogo watapata relief ya kujua kwa undani matokeo maana iyo ya necta jana ilikuwa ICU
   WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

  13. Mbishi2's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 11th January 2012
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Twinky View Post
   Kwa kweli inasumbua haifunguki toka asubuhi nafanya kazi hiyo tu
   Dah! pole sana ni kweli

  Similar Topics

  1. Matokeo ya kidato cha nne 2010 yatangazwa
   By palalisote in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 6
   Last Post: 5th June 2013, 19:58
  2. Msaada wa kuishitaki serikali kwa matokeo mabaya ya kidato cha nne 2010.
   By Vitendo in forum Jukwaa la Sheria (The Law Forum)
   Replies: 6
   Last Post: 2nd February 2011, 20:04
  3. Maoni yangu matokeo kidato cha nne 2010
   By Ngalikivembu in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 1
   Last Post: 1st February 2011, 03:35
  4. Matokeo ya kidato cha nne hewani - 2010
   By Crashwise in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 25
   Last Post: 27th January 2011, 11:40
  5. Matokeo ya kidato cha sita 2010 hadharani
   By Albedo in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 3
   Last Post: 2nd May 2010, 20:53

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...