JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Wekeza inalipa Movie Launch.

  Report Post
  Results 1 to 4 of 4
  1. DseTanzania's Avatar
   Member Array
   Join Date : 20th September 2013
   Posts : 27
   Rep Power : 419
   Likes Received
   9
   Likes Given
   0

   Default Wekeza inalipa Movie Launch.

   Jana tarehe 11 oct, Waziri wa Habari,vijana,Utamaduni na michezo Dr. Fenella Mukangara,alizindua ile filamu inaliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, Yaani Wekeza inalipa,
   iliyoigizwa na wasanii wakali kutoka East Africa, yaani Kenya,Uganda,Rwanda, Burundi na Tanzania.

   Hii habari imechapishwa na magazeti mengi siku ya leo.
   unaweza kuona Trailer ya movie kwenye Youtube channel ya DSE
   Wekeza Inalipa Movie Trailer. - YouTube

   Matukio ya Picha kwenye Blog ya DSE
   Dar es Salaam Stock Exchange: WEKEZA INALIPA MOVIE LAUNCH.
   au kwenye ukurasa wa Facebook wa DSE
   https://www.facebook.com/media/set/?...0533061&type=1


   Vile vile baathi ya website ambazo zimeweka hii habari.
   http://www.dailynews.co.tz/index.php...stock-exchange

   http://www.habarileo.co.tz/index.php...nunua-hisa-dse

   Tanzanian film makers challenged to spend wisely | In2EastAfrica – East African news, Headlines, Business, Tourism, Sports, Health, Entertainment, Education

   MICHUZI BLOG: Uzinduzi wa filamu ya kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa ununuzi wa HISA

   THE GOVERNMENT OFFICIAL BLOG: Filamu iliyotengenezwa na Wasanii wa Nchi za Afrika Mashariki. kuhamasisha Jamii kununua Hisa Yazinduliwa jijini Dar.


  2. Mama Joe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2009
   Posts : 1,502
   Rep Power : 21030584
   Likes Received
   709
   Likes Given
   727

   Default Re: Wekeza inalipa Movie Launch.

   Asante kwa taarifa, mimi ninapenda kuwekeza ila hapa nchini naona kama uwazi na uwajibikaji wa makampuni yanayouza hisa ni mdogo sana na vile wananchi wengi wananunua shares ambazo haziwawezeshi kuwa na maamuzi wala kuwa na taarifa muhimu za kampuni hizi mimi naona kununua hisa bado ni risk sana. Labda kupitia mwamko huu tutaelimishana zaidi. Asante

  3. mtanzania07071989's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th August 2012
   Posts : 154
   Rep Power : 502
   Likes Received
   17
   Likes Given
   97

   Default Re: Wekeza inalipa Movie Launch.

   Ulimwengu wa taarifa

  4. #4
   pinno's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th January 2013
   Posts : 655
   Rep Power : 580
   Likes Received
   244
   Likes Given
   846

   Default Re: Wekeza inalipa Movie Launch.

   Ni movement nzur kwa ajili ya kupromote soko la hisa DSE. Ila ningeambiw nitoe pendekezo la jina la movie ningeliita tu "HISA" lingekuwa na swags na pia lingekuwa linafikisha ujumbe,lakin hata hivyo cyo mbaya sana.

   Mjitahid ili iweze kuoneshwa kwenye theatres ikibid.


  Similar Topics

  1. Wajue mabalozi wa Dar es Salaam Stock Exchange kwenye kampeni ya 'Wekeza Inalipa'
   By DseTanzania in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 20
   Last Post: 3rd December 2014, 16:57
  2. Ratiba ya vipindi vya redio vya dse kwenye kampeni ya wekeza inalipa
   By DseTanzania in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 2
   Last Post: 30th September 2013, 12:28
  3. The Making of the Documentary/Movie
   By Nyanza in forum Tech, Gadgets & Science Forum
   Replies: 7
   Last Post: 4th September 2012, 12:36
  4. inaonekana BONGO MOVIE inalipa
   By yaser in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 8
   Last Post: 10th April 2012, 21:54
  5. Virgin Atlantic launches Flights to Nairobi
   By Nzokanhyilu in forum Kenyan News
   Replies: 8
   Last Post: 18th April 2007, 13:43

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...