JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Habari mpasuko: Samaki wabovu aina ya vibua wakamatwa maeneo ya tabata bima dar.

  Report Post
  Results 1 to 3 of 3
  1. #1
   Katitima's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th June 2013
   Posts : 616
   Rep Power : 550
   Likes Received
   102
   Likes Given
   9

   Default Habari mpasuko: Samaki wabovu aina ya vibua wakamatwa maeneo ya tabata bima dar.

   Ni kontena 2 za tani 22.5 na 27 znazomilikiwa na wafanya biashra SADICK NASSOR na AMASHA FISH TRADERS.zlizopewa kibari na TFDA mnamo JULAI 2013 kuwa ni salama kwa matumizi ya binadamu zkitokea nchi za CHINA na YEMEN leo zmekamatwa TABATA BIMA na kuonekana kuwa samaki hao wameharbika kabsa na wanatakiwa kutektezwa kwan hawfai kwa matumiz ya bindamu.habar znasma kuwa walkuwa wanapelekwa feri ambapo wengne walshauzwa.hii inaingia akiln kwel wakuu?na kosa ni la nan hapa?TFDA au weny mal?

   Chanzo:RADIO ONE/ITV
   Last edited by Katitima; 18th September 2013 at 17:47.


  2. nguvumali's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 3rd September 2009
   Location : nimerudi Mwanza
   Posts : 4,799
   Rep Power : 1585
   Likes Received
   1030
   Likes Given
   308

   Default Re: Habari mpasuko: Samaki wabovu aina ya vibua wakamatwa maeneo ya tabata bima dar.

   Quote By Katitima View Post
   NI KONTENA 2 ZA TANI 22.5 NA 27 ZNAZOMILIKIWA NA WAFANYA BIASHARA SADICK NASSOR NA AMASHA FISH TRADERS(kwa mpangilio).ZLIZOPEWA KIBARI NA TFDA MNAMO JULAI 2013 KUWA NI SALAMA KWA MATUMIZI YA BINADAMU ZKITOKEA NCHI ZA CHINA NA YEMEN LEO ZMEKAMATWA TABATA BIMA NA KUONEKANA KUWA SAMAKI HAO WAMEHARIBIKA KABISA NA WANATAKIWA KUTEKETEZWA KWAN HAWAFAI KWA MATUMIZ YA BINADAMU.HABAR ZNASEMA KUWA WALKUWA WANAPELEKWA FERI AMBAPO WENGNE WALSHAUZWA.HII INAINGIA AKILN KWEL WAKUU?NA KOSA NI LA NAN HAPA?TFDA AMA WENY MAL?
   makubwa na balaaah kubwa hilo
   The most potent weapon of the oppressor is the mind of the oppressed

  3. #3
   Katitima's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th June 2013
   Posts : 616
   Rep Power : 550
   Likes Received
   102
   Likes Given
   9

   Default

   Quote By nguvumali View Post
   makubwa na balaaah kubwa hilo
   Hakika NGUVUMALI,me nashindwa kuielewa kabsa hii nchi,sijui ni kwa nini inafanya masikhara kwenye mambo ya msingi kama afya za watu.wanafuga uozo kiasi cha kuogofya.

   kweli hii serikali ni corrupt


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...