Wakuu habari zenu,

Mimi nina shamba maeneo ya Mbwenkulu,Lindi nataka kupanda ufuta msimu huu.
Je ni mbegu gani bora?Nawezaje kuipata?Na ni kwa gharama gani?

Natumai majibu mazuri toka kwenu.

Mungu ibariki Jf.