JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: selcom paypoint na maxmalipo ipi ina faida zaid

  Report Post
  Results 1 to 7 of 7
  1. #1
   yeto's Avatar
   Member Array
   Join Date : 23rd August 2010
   Posts : 37
   Rep Power : 582
   Likes Received
   4
   Likes Given
   5

   Default selcom paypoint na maxmalipo ipi ina faida zaid

   habari waungwana nina ofis yangu ya biashra huku mikoani nataka nijiunge na moja ya kampuni hizo maxmalipo au selcom paypoint
   naomba mnijuze ipi ina faida zaid kwenye vocha,luku na huduma nyinginezo
   ipi yenye customer care nzuri na yenye future ya kuenea zaid kwani kampuni za bongo hazichelewi kufa ukabaki na mashine

   gharama za kujiunga na any hidden cost

   natanguliza shukran

  2. #2
   bung'a's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th May 2012
   Posts : 152
   Rep Power : 516
   Likes Received
   15
   Likes Given
   0

   Default Re: selcom paypoint na maxmalipo ipi ina faida zaid

   Kwa faida sijajua ila maxcom ni nzuri zaidi kwa sababu unafanyia kazi zote kwa wakati mmoja mashine hiyohiyo..kama m-pesa,tigopesa, airtelmoney,eazypesa,kulipia luku.dstv,zuku,dawasco.kulipia caro za shule,pamoja na airtel rusha,tigo rusha,voda rusha.....nk..masharti yao lazima uwe na leseni ya biashara,na copy ya tin number.na pesa shilingi 520000/-kama dhamana ya mashine yao watakayokupa na tsh.300000 kama mtaji wa kuanzia au zaidi..

  3. marango's Avatar
   Member Array
   Join Date : 31st October 2012
   Posts : 83
   Rep Power : 476
   Likes Received
   8
   Likes Given
   0

   Default Re: selcom paypoint na maxmalipo ipi ina faida zaid

   Jaribu kufafanua kuhusu faida labda kila unapozungusha lakitatu unapata faida ya sh ngapi? Kwa maana selcom kila laki tatu faida ni elfu sita tu. Imekuwa kama huduma tu haina faida kwakuwa ni vigumu kwa uswahilili kuzungusha hata lakimoja kwa siku utakuta inaenda hadi siku mbili tatu laki moja tu.

   Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

  4. Kurunzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st July 2009
   Location : DAR ES SALAAM
   Posts : 3,529
   Rep Power : 1335
   Likes Received
   757
   Likes Given
   303

   Default Re: selcom paypoint na maxmalipo ipi ina faida zaid

   Quote By marango View Post
   Jaribu kufafanua kuhusu faida labda kila unapozungusha lakitatu unapata faida ya sh ngapi? Kwa maana selcom kila laki tatu faida ni elfu sita tu. Imekuwa kama huduma tu haina faida kwakuwa ni vigumu kwa uswahilili kuzungusha hata lakimoja kwa siku utakuta inaenda hadi siku mbili tatu laki moja tu.

   Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   Faida zao zikoje mkuu?
   INSIGHT

  5. Nazjaz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th January 2011
   Posts : 4,359
   Rep Power : 1540808
   Likes Received
   1695
   Likes Given
   649

   Default

   Quote By marango View Post
   Jaribu kufafanua kuhusu faida labda kila unapozungusha lakitatu unapata faida ya sh ngapi? Kwa maana selcom kila laki tatu faida ni elfu sita tu. Imekuwa kama huduma tu haina faida kwakuwa ni vigumu kwa uswahilili kuzungusha hata lakimoja kwa siku utakuta inaenda hadi siku mbili tatu laki moja tu.

   Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   Kumbe huu ni unyonyaji mwingine.
   Kazi unafanya wewwe malipo anakula mwingine, ujinga mtupu

  6. dj1000's Avatar
   Member Array
   Join Date : 28th February 2014
   Posts : 15
   Rep Power : 394
   Likes Received
   4
   Likes Given
   0

   Default Selcom na maxmalipo

   Habar zenu wanajamii! napenda kuuliz tofauti kati maxmalipo na selcom ipo wapi? au na huduma gani inayopatikan kwny selcom n maxmalipo pamoja na bei zake.

  7. maguzumasese2005's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st May 2014
   Posts : 655
   Rep Power : 513
   Likes Received
   168
   Likes Given
   5

   Default Re: Selcom na maxmalipo

   Selcom na maxmalipo

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...