JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

  Report Post
  Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 99
  1. #1
   Wi-Fi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th August 2011
   Location : 6°49′24″ S 39°16′10″ E
   Posts : 1,584
   Rep Power : 10167
   Likes Received
   501
   Likes Given
   507

   Default FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

   Hii ni kampuni mpya inayoanza safari za ndege, nauli ni bila VAT.

   Kwa Dar office zipo mitaa ya Samora opp Wizara ya Nishati na madini karibu na Steers.
   Quote By Nyikanavome View Post
   Nilikuwa nasikiliza afisa wao clouds fm asubuhi, anasema chakula ndani ya ndege ni cha kulipia ila unaruhusiwa kuingia na chakula chako ambacho hakitawaudhi abiria wenzanako. Mizigo nayo itakuwa inalipiwa; kilo ishirini za mwanzo ni shilingi elfu nane na kila kilo inayozidi ni shilingi elfu nane.
   Last edited by Wi-Fi; 13th November 2012 at 10:04.


  2. #21
   Watu8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 45,654
   Rep Power : 429506161
   Likes Received
   27729
   Likes Given
   29104

   Default Re: first jet: mwanza, kilimanjaro nauli tsh35,000...

   Quote By Smile View Post
   ila humo ndani tutapewa hata bublish kweli?
   msosi unauzwa lakini kama ukiona huna hela fungasha furu, magimbi na mbatata toka home inaruhusiwa...
   "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"  3. #22
   Watu8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 45,654
   Rep Power : 429506161
   Likes Received
   27729
   Likes Given
   29104

   Default Re: first jet: mwanza, kilimanjaro nauli tsh35,000...

   halafu Wi-Fi bei ya nauli ni 32,000Tshs sio 35,000Tshs kama ulivyobainisha kwenye heading....
   "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"  4. Lily Flower's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th October 2009
   Location : Garden
   Posts : 2,563
   Rep Power : 20966
   Likes Received
   1181
   Likes Given
   1699

   Default re: FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

   Gharama za uwendeshaji makampuni haya ya ndege ni kubwa sana hizo bei zitawashinda tu hivi karibuni labda hizo bei nizakuwavuta wateja then baadae watapandisha.
   MY LOVE IS YOUR LOVE.

  5. misoza Gete's Avatar
   Member Array
   Join Date : 28th September 2012
   Posts : 43
   Rep Power : 474
   Likes Received
   4
   Likes Given
   2

   Default re: FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

   Napendekeza zianze kwenda na dodoma ili mashangingi yafutwe na mafuta ya ma vx yajenge mashule.fast jet hebu pangeni root ya dodoma watu wapumue.au mtamwogopa shabiby?nawapongeza kwa kuamua kwenda dodoma.

  6. #25
   Smile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Location : paradise
   Posts : 15,430
   Rep Power : 4305257
   Likes Received
   11260
   Likes Given
   6025

   Default Re: first jet: mwanza, kilimanjaro nauli tsh35,000...

   Quote By watu8 View Post
   msosi unauzwa lakini kama ukiona huna hela fungasha furu, magimbi na mbatata toka home inaruhusiwa...
   mmmh mi nitabeba mayai ya kuchemsha
   hakuna mwanaume asiecheat labda kileo wa joyce kiria!


  7. LazyDog's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2008
   Posts : 2,525
   Rep Power : 0
   Likes Received
   161
   Likes Given
   3517

   Default re: FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

   Kama alivyoeleza Watu8 hapo juu, nauli haipungui 94,000.

   Ruti gani nyingine wanazo hawa? Zanzibar je?
   A person who won't read has no advantage over one who can't read. -Mark Twain

  8. Money Stunna's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th August 2011
   Location : BeechGrove City
   Posts : 13,121
   Rep Power : 16967209
   Likes Received
   5585
   Likes Given
   1741

   Default Re: FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

   ndege kama hizo niliziona ata malaysia,ukisafiri malaysia kwenda china,singapore,thailand etc nauli ya ndege ni cheap sana lakin haupewi msosi,pia ukiwa na mizogo ndio unachagiwa zaidi,wanasema uwingi wa mizigo kwenye ndege unakula mafuta,lakin ukiwa hauna mizogo unapeta,wenzetu asia umeanza siku nyingi

  9. charminglady's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2012
   Location : Ikungulyabhashi
   Posts : 17,073
   Rep Power : 429500333
   Likes Received
   10899
   Likes Given
   12662

   Default

   Quote By Remote View Post
   Jamani naomben ukweli katika hii nami nipande ndege kidigo nitie baraka maisha yangu npo mwanza familia ipo dar
   vp mkuu na route ya mwanza - dar?
   Last edited by charminglady; 13th November 2012 at 11:36.

  10. simplemind's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2009
   Posts : 7,539
   Rep Power : 25772722
   Likes Received
   1638
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Smile View Post
   ila humo ndani tutapewa hata bublish kweli?
   No big deal. Si just beba snacks bwana.

  11. ZionTZ's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th October 2009
   Posts : 1,094
   Rep Power : 839
   Likes Received
   253
   Likes Given
   188

   Default Re: FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

   Quote By Money stunna View Post
   ndege kama hizo niliziona ata malaysia,ukisafiri malaysia kwenda china,singapore,thailand etc nauli ya ndege ni cheap sana lakin haupewi msosi,pia ukiwa na mizogo ndio unachagiwa zaidi,wanasema uwingi wa mizigo kwenye ndege unakula mafuta,lakin ukiwa hauna mizogo unapeta,wenzetu asia umeanza siku nyingi
   ni kweli hata hapo kongo zipo sikunyingi tu...hadi mbuzi unambeba ukitaka...

  12. Money Stunna's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th August 2011
   Location : BeechGrove City
   Posts : 13,121
   Rep Power : 16967209
   Likes Received
   5585
   Likes Given
   1741

   Default Re: FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

   Quote By ZionTZ View Post
   ni kweli hata hapo kongo zipo sikunyingi tu...hadi mbuzi unambeba ukitaka...
   congo usafiri wao mkuu ni ndege,kule ndege ni kama mabus,kwa sababu barabara hawana

  13. simplemind's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2009
   Posts : 7,539
   Rep Power : 25772722
   Likes Received
   1638
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Misterdennis View Post
   Spider bye bye lets just kiss and say goodbye! Gruelling 6 am to 10 pm dar -nrb journey ndiyo basi tena. Unateremka JKIA panda city treni dakika kumi upo CBD Nairobi. Almost sounds too good to be true.

  14. #33
   Watu8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th February 2010
   Location : Juu ya Tukutuku
   Posts : 45,654
   Rep Power : 429506161
   Likes Received
   27729
   Likes Given
   29104

   Default Re: FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

   Quote By charminglady View Post
   vp mkuu na route ya mwanza - dar?
   my daughter hawa jamaa wa ukweeh...wanafanya two times a day, kwenda na kurudi;
   Dar - Mwanza - Dar na Dar - Kilimanjaro - Dar
   "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"  15. Sangarara's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th September 2011
   Posts : 12,605
   Rep Power : 429499468
   Likes Received
   4962
   Likes Given
   6327

   Default Re: first jet: mwanza, kilimanjaro nauli tsh35,000...

   Quote By obama wa bongo View Post
   mkuu hebu pitia vizuri hizo bei ,maana ata bus luxury sio hio bei
   Ndio utajua kwamba hiki tunachoita inflation ni fake, kuna watu wanafaidika nacho, enjoy the economical price.

  16. CHUAKACHARA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2011
   Posts : 6,800
   Rep Power : 8530
   Likes Received
   2299
   Likes Given
   1771

   Default Re: FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

   Quote By Wi-Fi View Post
   Hii ni kampuni mpya inayoanza safari za ndege, nauli ni bila VAT.

   Kwa Dar office zipo mitaa ya Samora opp Wizara ya Nishati na madini karibu na Steers.
   Uongo tu huo ni usanii. Kwani wamekuja wangapi na mbwembwe hizo kumbe utapeli.hakuna biashara ya mama ntilia kwenye issue ya usafiri wa ndege. Duniani kote huwa ni ghali sasa huyu ati 32,000 Tsh ! hata ukaweka navat of 18% is unthinkable na uongo

  17. #36
   Silly's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Location : nku-nyumba-nde
   Posts : 436
   Rep Power : 821
   Likes Received
   103
   Likes Given
   13

   Default Re: first jet: mwanza, kilimanjaro nauli tsh35,000...

   Vizuri kama wataweza sustain kwa muda hata miezi sita, Tsh 35,000 + 18% VAT + Airport Charges = affordable

  18. betlehem's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th May 2012
   Location : Around the World
   Posts : 5,610
   Rep Power : 78106
   Likes Received
   2755
   Likes Given
   2670

   Default Re: first jet: mwanza, kilimanjaro nauli tsh35,000...

   Quote By obama wa bongo View Post
   mkuu hebu pitia vizuri hizo bei ,maana ata bus luxury sio hio bei
   ni bei ya kweli.hiyo kampuni ni kampuni mpya ya bei rahisi ili atakaye shindwa kupanda ndege asilalamike

  19. simplemind's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2009
   Posts : 7,539
   Rep Power : 25772722
   Likes Received
   1638
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Sangarara View Post
   Ndio utajua kwamba hiki tunachoita inflation ni fake, kuna watu wanafaidika nacho, enjoy the economical price.
   True, kumbuka jinsi kampuni za simu zilitunyanyasa na bei za ajabu mwanzo mwanzo. They made superprofits. Next ni political leaders they are highly overated(though mediocre) ,they too will soon come tumbling down ,come new katiba that evens the playing field.

  20. Mkeshahoi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th January 2009
   Posts : 2,386
   Rep Power : 1142
   Likes Received
   235
   Likes Given
   1015

   Default Re: FastJet: Mwanza - Kilimanjaro nauli tsh 32,000... (Bila VAT)

   Quote By C.T.U View Post
   Hizo ndio ndege ambazo wanasema ni za bei rahisi
   Sasa nnahisi kabisa kuwa humu ndani badala ya kupewa sandwich tutakuwa tunapewa UBUYU
   Hata ukili mihogo na nguluka... si mlo pia au...?!!!
   Hela silaha... Kisu Mzigo

  21. figganigga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th October 2010
   Location : dar es salaam
   Posts : 12,508
   Rep Power : 166336936
   Likes Received
   5643
   Likes Given
   15533

   Default

   Quote By watu8 View Post
   msosi unauzwa lakini kama ukiona huna hela fungasha furu, magimbi na mbatata toka home inaruhusiwa...
   kwani kutoka mwanza had arusha inachukua dakika ngapi hadi ubebe mavyakula? chakula unakula mwanza maji unaenda kunywa arusha. mia


  Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...