JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: USHAURI: Nina million 20 nifanye biashara gani?

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 28
  1. The only's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th May 2011
   Location : mpanda
   Posts : 435
   Rep Power : 624
   Likes Received
   74
   Likes Given
   161

   Default USHAURI: Nina million 20 nifanye biashara gani?

   yenye uhakika na itanipa daily cashflow kwan nikiichezea narisk maisha ya mke na watoto 2,ni mkopo wa mshara kukatwa nusu

  2. OGOPASANA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th April 2009
   Posts : 265
   Rep Power : 697
   Likes Received
   101
   Likes Given
   123

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   mkuu, hongera kwa kubahatika, pili naomba ungejieleza upo wapi? una shughuli gani? una uzoefu gani? ulishawahi kufanya biashara yoyote? binafsi ulishawahi kuwa na mawazo gani ya biashara? unapenda nini? umeoa/ kuolewa? Upo tayari kufanya biashara ya ubia??? ....... amini kuwa BIASHARA YA KUFANYA INATEGEMEA MTU NA MTU NA MAZINGIRA ALIYONAYO, SI KILA ANACHOKIFANYA MWINGINE NA WEWE UTAWEZA AMA SI KILA ANACHOSHINDWA MWINGINE NA WEWE KITAKUSHINDA.

   Swali la kizushi: unaweza kutueleza umekopa wapi hizo milioni 20 kwa mkopo wa mshahara na sisi tukakope??? Unarejesha kwa muda gani?? kwa riba gani???

  3. Chasha Poultry Farm's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th June 2011
   Posts : 5,035
   Rep Power : 1791
   Likes Received
   2696
   Likes Given
   725

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Quote By OGOPASANA View Post
   mkuu, hongera kwa kubahatika, pili naomba ungejieleza upo wapi? una shughuli gani? una uzoefu gani? ulishawahi kufanya biashara yoyote? binafsi ulishawahi kuwa na mawazo gani ya biashara? unapenda nini? umeoa/ kuolewa? Upo tayari kufanya biashara ya ubia??? ....... amini kuwa BIASHARA YA KUFANYA INATEGEMEA MTU NA MTU NA MAZINGIRA ALIYONAYO, SI KILA ANACHOKIFANYA MWINGINE NA WEWE UTAWEZA AMA SI KILA ANACHOSHINDWA MWINGINE NA WEWE KITAKUSHINDA.

   Swali la kizushi: unaweza kutueleza umekopa wapi hizo milioni 20 kwa mkopo wa mshahara na sisi tukakope??? Unarejesha kwa muda gani?? kwa riba gani???
   Mkuu kwenye Red hapo umenifurahisha sana,

   Ok Mimi nitakuwa tofauti kidogo na wewe kuhusu mleta Maada, Kuna watu wengi sana wanasema ukitaka kuficha dokoment zako mhimu kama pesa basi weka kwenye kurasa za kitabu, utarudi utazikuta,

   Hii thread ni kama ya 20 hivi kuzingumzia mtu kuwa na mtaji na kuhitaji mchango wa mawazo, mkuu hizo thread ziko nyingi sana na michango inafanana so ni vizuri ukasoma hiyo michango kabla ya kupost thred, na hii thread ya haitapata michango mingi kwa sababu ni marudio ya thread nyingi sana kama hizi,

   Mwisho, mkuu unawezaje kukopa kabla hujajua unaenda kufanyia nini? wewe ulikopa ili ukafanyie nini? make ni mzaha wa hali ya juu kwamba uliomba mkopo ila hukujua unaenda kufanyia nini,

   TUJARIBU KUWA SIRIAZI WAKUU, MAKE HILI JUKWAA LINATEMBELEWA NA WAKENYA NA WAGANDA NA WANATUONA TUSIVYO SIRIAZI KABISA NA HAPA NDO WANAPO ANZA KUPANGA MIKAKATI YA KUTUPIGA BAO KWENYE EAC  4. Mgombezi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2009
   Posts : 630
   Rep Power : 775
   Likes Received
   157
   Likes Given
   139

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Mkuu Nakupongeza kwa kupata mkopo; bali kama ambavyo KOMANDOO alivyosema zimeshapita thread nyingi za namna hii na zipo hapa hapa kwenye jukwaa la biashara, nakumbuka kuna moja ya mtaji wa milioni 10 alianzisha MBU kama sikosei, ilikuwa na michango mingi sana. Mimi nina wazo lakini sina mtaji na sina sifa ya kupata mkopo kama wewe, hivyo naomba mchango wako wa Tsh 4970/= tu, kwani natafuta watu 1000 kutoka kwenye jamii watakaonichangia kiasi hicho kila mmoja ili niaze mradi wangu. Unaweza kutembelea thread yangu hapa ndani ya jukwaa hili - http://www.jamiiforums.com/business-...oto-yangu.html
   Ebenezer

  5. Narubongo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd November 2010
   Posts : 1,923
   Rep Power : 949
   Likes Received
   946
   Likes Given
   690

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   nunua gari mkuu
   "Chadema kinatumia alama ya vidole viwili kama manati, manati kamwe haiwezi kuua tembo" Livingstone Lusinde (2012)

  6. galagaja mtoto's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th May 2012
   Posts : 84
   Rep Power : 500
   Likes Received
   18
   Likes Given
   26

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Quote By the only View Post
   yenye uhakika na itanipa daily cashflow kwan nikiichezea narisk maisha ya mke na watoto 2,ni mkopo wa mshara kukatwa nusu
   plz fuatilia masomo ya ujasiriamali yanayopatikana humu jamvini kutoka kwa galagaja mtoto, kupitia category hii ya business na hata kule kwenye nafasi za kazi.

  7. BabaDesi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th June 2007
   Posts : 2,788
   Rep Power : 1297
   Likes Received
   446
   Likes Given
   2382

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   ....Dah! Nasisimka sana ninapojikuta mchana kama huu ninapiga miayo, jiko na mama vimenuna na hakijaeleweka halafu kuna mtu ana shilingi Milioni 20 lakini hajui azifanyie nini ili kuzizalisha. Tell me comrade, Why ddnt you ask Us before taking the Loan? Dd You take the Loans with no plans at all on what to do with the money?? Then why dd you take it at all if you dd not have any plans at all and you depended on JF to give you One??.....YAAAWN!!
   Sema Kwa Sauti, Mimi Ni Mweusi Na Najivunia Kuwa Hivyo!

  8. Kivumah's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th January 2008
   Posts : 2,371
   Rep Power : 5483
   Likes Received
   886
   Likes Given
   820

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Quote By Narubongo View Post
   nunua gari mkuu
   teh tehe tehe teh........Nimecheka sana..

  9. lolyz's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2011
   Posts : 315
   Rep Power : 588
   Likes Received
   173
   Likes Given
   271

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Make decisions and act on them. Make mistakes, fall and try again. Even if you fall a thousand times, at least you won’t have to wonder what could have been. At least you will know in your heart that you gave your dreams your best shot
   Ukaniite siku ya mateso, Nitakuokoa na wewe utanitukuza :Zab (psalm)50:15

  10. chash's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2012
   Posts : 602
   Rep Power : 602
   Likes Received
   206
   Likes Given
   197

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Ok ok.

   Hauna biashara nyingine inayo endelea vizuri uii expand? Kama jibu ni No. Wewe upo kazini, kwa hiyo huwezi kuwepo kwenye biashara muda mwingi. Therefore avoid, duka haina yeyote, muuzaji atakufilisi. taxi, bajaj dereva atajifaidi mwenyewe. Mkeo au mmeo kuiendesha biashara hiyo ya duka au taxi, bajaji dala dala nk. Ok, lakini uwe tayari kumsamehe kama atakuwa hana experience ya biashra. Ndugu je? 90 % chances you will fail.

   Pia zingatia asilimia 95 biashara mpya u feli ndani ya miaka 5. Inahitaji passion, ufanye kitu unacho kipenda saaaana moyoni wako. Hivyo unakuwa mwepesi kuvumilia matatizo yeyote hata kufanya kazi mda mrefu bila kuchoka. Mvumilivu ula mbivu. Bado hamna? Kiwanja. You will not regret. Baadaye unaweza kukiuza at a profit au ukajenga. So far bado tu?

   Usikubali kuweka partnership na mtu atafaidi yeye. Usitume mtu kwamba nenda kanunue mbao au ndizi tuje tuuze, chances are it will not work. Trust ipo chini sana siku hizi.

   My final advice.

   Kilimo: Tafuta shamba yenye maji ufanye kilimo cha umwagiliaji. Kilimo cha kutegemea mvua ni very risky. Ekari mbili za kilimo cha umwagiliaji ni sehemu kubwa mno. Panda kabeji, nyanya, kitunguu, carrots nk Tafuta hybrid seeds upate mavuno makubwa. Fuga kuku wa kisasa wa kienyeji ambao gharama za kufuga zipo chini kuliko za grade. Zinataga mayai kila siku au baada ya wiki nane zitakuwa na zaidi ya kilo moja na tayari kuuzwa nyama. Nenda pole pole usiwe mwepesi wa kuamua. Think before you leap. Slow and sure wins the race.

   Hata hivyo yote yakishindikana na hela iishe usipate presha ndivyo maisha yalivyo, sahau yaliopita na ujipange upya.

   Oh na usisahau, kama ni mtu wa imani fungu la Mungu peleka kanisani au msikitini. Kumbuka pia wazazi kiasi, waombe waibariki kazi ya mikono yako.

  11. chash's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2012
   Posts : 602
   Rep Power : 602
   Likes Received
   206
   Likes Given
   197

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Oh nimesah. Kuongeza elimu pia ni wazo nzuri. Kwenye kazi zako unaweza kuongeza kozi zipi ili uongezee cheo au mshahara?

  12. meddie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st October 2010
   Posts : 385
   Rep Power : 648
   Likes Received
   83
   Likes Given
   8

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Quote By The only View Post
   yenye uhakika na itanipa daily cashflow kwan nikiichezea narisk maisha ya mke na watoto 2,ni mkopo wa mshara kukatwa nusu

   nimesoma mwanzo hadi threat ilipo, ninachokiona na kumuomba Mungu ni "Mwenyezi Mungu atusaidie sana Watz katika kuwa wabunifu, wajasiri/watu wa kuthubutu? watu wenye alternative thinking katika areas zote za maisha! siasa, uchumi, mpira, michezo,ujasiliamali nk.
   kabla ya threat hii nimepitia moja ambayo mwanzishaji anaulizia jinsi ya kuazisha biashara/uchuuzi wa m-pesa na watu wamemwaga mawazo yao.
   Kimsingi ukipia hii na hivo zingine utaona jinsi Watz tu watu wakutofikiri sana/kwa kina bali twapenda vitu vyepesivyepesi na upeo wetu ni narrow sana.
   Mawazo yanayotolewa hapa zaidi ni jinsi gani ya kufanya uchuuzi na si jinsi ya kufanya udhalishaji wa kuongeza dhamani na hata kuweza kutoka nje ya mipaka ya nchi kama wenzetu wakenya wanavyofanya. Tz ama watz tulivyo hakuna hata benki moja ya tz ipo Burundi, rwanda ama kenya lakini wao waja nakutukuta bado tunaulizana tufanye nini?
   May God help us!!!

  13. Mgombezi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2009
   Posts : 630
   Rep Power : 775
   Likes Received
   157
   Likes Given
   139

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Quote By meddie View Post

   Kweli inasikitisha pale ambapo waTZ wengi bado tunaendelea kujiuliza tufanye nini na huku wageni wanakuja katika ardhi yetu na kuziona fursa na wanachukua hatua. Mara nyingi huwa sipati jibu sahihi kwa mtu anapouliza nini cha kufanya?, inamaana katika mazingira yanayomzunguka hakuna mahitaji? mbona TZ bado mahitaji ni mengi katika jamii?, kuanzia asubuhi mpaka jioni unakutana na shida mbalimbali; hizo ndio fursa za biashara, unapoenda kupanda daladala na unakuta watu wanagombanaia daladala hilo ni tatizo na unaweza kuligeuza kuwa fursa ya biashara kwako, unachotakiwa ni kufikiri jinsi ya kuondoa tatizo hilo na mengine mengi tu katika mazingira tunayoishi.
   Ebenezer

  14. tabu kuishi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Posts : 354
   Rep Power : 612
   Likes Received
   19
   Likes Given
   10

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Nenda suma JKT pale Mwenge upate trecta jipya farm tract 60-70 inauzwa shillingi milioni 18,000,000/= unalipa nusu yani 9,000,000/= unapewa trecta kiasi kilichobaki unapewa miaka 2 [miwili] kulipa. Utabakiwa na milioni 11.

   Then unakwenda kukodi heka 100 kwa kila heka ni shilingi 15000/= hadi 20,000/= jumla 2,000,000/= uwezo wa trecta kulima kwa siku ni ekari 20 utatumia siku 5 kumaliza shamba lako baada ya hapo uta anza kulima mashamba ya watu kwa gharama ya sh 30000/= kwa heka kwa muda wa siku 30 hadi 45 mfululizo gharama za kulima shamba zote zinarudishwa na trecta lenyewe heka 100 unaweza kupata gunia 700 za mahindi hadi 900

  15. Kimbito nyama's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 10th April 2012
   Posts : 156
   Rep Power : 521
   Likes Received
   38
   Likes Given
   19

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Quote By The only View Post
   yenye uhakika na itanipa daily cashflow kwan nikiichezea narisk maisha ya mke na watoto 2,ni mkopo wa mshara kukatwa nusu

   Kama uko seriuos, mimi na marafiki zangu wachaga watano tuna biashara amabyo inalipa vizuri, ila huwa tunakutana pale Hongera Bar (DSM) kila siku ya Ijumaa kuanzia saa tisa mchan kupanga mikakati mipya, hivyo karibu sana Ijumaa hii ukifika ulizia Kaunta 'meza ya kama tulivyo' watakuonyesha. Iam serious.

  16. JBAM's Avatar
   Member Array
   Join Date : 16th February 2012
   Posts : 22
   Rep Power : 502
   Likes Received
   13
   Likes Given
   9

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   ila ahakikishe analima mahali ambapo pana uhakika wa maji ya kumwagilia. karne hii sio ya kulima kwa kuangalia angani (kusubiri mvua) atafilisika na kutafuta presha bure. pia afuate ushauri wa kitaalam juu ya namna ya kufanya hicho kilimo chake ili kuongeza tija kwa eneo badala ya kuwa na eneo kuuuubwa na mapato kidogo huku gharama za uzalishaji zikiwa kubwa pia na hivyo kupunguza profit. God advice bwana whilshere

  17. Mgombezi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2009
   Posts : 630
   Rep Power : 775
   Likes Received
   157
   Likes Given
   139

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Quote By Kimbito nyama View Post
   Kama uko seriuos, mimi na marafiki zangu wachaga watano tuna biashara amabyo inalipa vizuri, ila huwa tunakutana pale Hongera Bar (DSM) kila siku ya Ijumaa kuanzia saa tisa mchan kupanga mikakati mipya, hivyo karibu sana Ijumaa hii ukifika ulizia Kaunta 'meza ya kama tulivyo' watakuonyesha. Iam serious.
   Mkuu KIMBITO NYAMA, nawapa pongezi kwa ushirika wenu; naomba nifikishie ujumbe wangu kwenye meza yenu ya "KAMA TULIVYO" hapo hongera bar, ujumbe wenyewe - http://www.jamiiforums.com/business-...o-yangu-2.html; kumbuka mjumbe hauwawi.....!!!, nashukuru kwa kufikisha ujumbe wangu...!!!
   Ebenezer

  18. babalao's Avatar
   Forum Spammer Array
   Join Date : 11th March 2006
   Location : Daresalaam
   Posts : 431
   Rep Power : 0
   Likes Received
   42
   Likes Given
   4

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Nakushauri uanzishe biashara mchanganyiko ya M PESA, Kuuza luku, vocha za mitandao yote, TRA, DAWASA. Nunua mashine ya Max Malipo kwa deposit ya shs. 500,000 tu itakuwezesha kufanya biashara zote hizo. Cha muhimu tafuta sehemmu ambayo watu wengi wanapita ndipo ufungue biashara yako hiyo.

  19. The only's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th May 2011
   Location : mpanda
   Posts : 435
   Rep Power : 624
   Likes Received
   74
   Likes Given
   161

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Quote By chash View Post
   Ok ok. Hauna biashara nyingine inayo endelea vizuri uii expand? Kama jibu ni No. Wewe upo kazini, kwa hiyo huwezi kuwepo kwenye biashara muda mwingi. Therefore avoid, duka haina yeyote, muuzaji atakufilisi. taxi, bajaj dereva atajifaidi mwenyewe. Mkeo au mmeo kuiendesha biashara hiyo ya duka au taxi, bajaji dala dala nk. Ok, lakini uwe tayari kumsamehe kama atakuwa hana experience ya biashra...
   Aisee watu makini hivi bado mnaishi hata nyakati hizi umenichana ukweli bila chenga sikutanii i will work on it

  20. BabaDesi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th June 2007
   Posts : 2,788
   Rep Power : 1297
   Likes Received
   446
   Likes Given
   2382

   Default Re: USHAURI WAJASILIAMALI : Nina million 20 nifanye biashara gani ?

   Quote By Kimbito nyama View Post
   Kama uko seriuos, mimi na marafiki zangu wachaga watano tuna biashara amabyo inalipa vizuri, ila huwa tunakutana pale Hongera Bar (DSM) kila siku ya Ijumaa kuanzia saa tisa mchan kupanga mikakati mipya, hivyo karibu sana Ijumaa hii ukifika ulizia Kaunta 'meza ya kama tulivyo' watakuonyesha. Iam serious.
   ....Kabila lina ulazima? maana umetaja hapo marafiki zako watano 'Wachaga'! kama jamaa ni Msukuma ama Msambaa asije??
   Sema Kwa Sauti, Mimi Ni Mweusi Na Najivunia Kuwa Hivyo!

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...