JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Nyumba yenye pande mbili inauzwa Arusha!

  Report Post
  Results 1 to 13 of 13
  1. Apolinary's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th August 2011
   Location : SAN DIEGO COMMUNITY
   Posts : 4,610
   Rep Power : 98783
   Likes Received
   874
   Likes Given
   59

   Default Nyumba yenye pande mbili inauzwa Arusha!

   Jumatano njema iwe kwenu wanajf kuna nyumba inauzwa arusha mjini eneo la matejoo. mita 300 kutoka barabara ya Arusha to Moshi. Nyumba ina pande mbili. upande wa kwanza una vyumba (4)single. upande wa pili una vyumba (4) dabo. nyumba ipo katika hali nzuri. bei milion 70 NB.NYUMBA HAINA MGOGORO WOWOTE WA KIFAMILIA NK. KWA ANAYEHITAJI ANI PM KWA MAELEZO ZAID.


  2. Jackbauer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th October 2010
   Location : EAST LONDON
   Posts : 5,873
   Rep Power : 31968
   Likes Received
   1838
   Likes Given
   350

   Default Re: Nyumba yenye pande mbili inauzwa Arusha!

   milioni 70?

  3. Shark's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2010
   Posts : 13,273
   Rep Power : 252220250
   Likes Received
   4241
   Likes Given
   1372

   Default Re: Nyumba yenye pande mbili inauzwa Arusha!

   Wewe si ndio ulikua ukilalamika kukabwa usiku???
   Haina uhusiano na hiyo Nyumba???
   Isije ikawa masuala ya kusakiziana vimeo

  4. babe S's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2011
   Posts : 1,007
   Rep Power : 708
   Likes Received
   273
   Likes Given
   262

   Default Re: Nyumba yenye pande mbili inauzwa Arusha!

   Quote By Sir. Burn View Post
   Wewe si ndio ulikua ukilalamika kukabwa usiku???
   Haina uhusiano na hiyo Nyumba???
   Isije ikawa masuala ya kusakiziana vimeo
   Hahahahaha umenifurahisha
   We never really grow up, we only learn to act in public.

  5. Apolinary's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th August 2011
   Location : SAN DIEGO COMMUNITY
   Posts : 4,610
   Rep Power : 98783
   Likes Received
   874
   Likes Given
   59

   Default

   [QUOTE=Sir. Burn;3830173]Wewe si ndio ulikua ukilalamika kukabwa usiku??? Haina uhusiano na hiyo Nyumba??? Isije ikawa masuala ya kusakiziana vimeo[/QU masuala ya kukabwa yalikua ni yangu na sio nyumba


  6. Shark's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2010
   Posts : 13,273
   Rep Power : 252220250
   Likes Received
   4241
   Likes Given
   1372

   Default Re: Nyumba yenye pande mbili inauzwa Arusha!

   Ok,
   Lakini yalikua yakikutokea wakati unaishi kwa hiyo Nyumba?

  7. telitaibi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd May 2012
   Posts : 553
   Rep Power : 597
   Likes Received
   103
   Likes Given
   79

   Default Re: Nyumba yenye pande mbili inauzwa Arusha!

   hakunaga

  8. Apolinary's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th August 2011
   Location : SAN DIEGO COMMUNITY
   Posts : 4,610
   Rep Power : 98783
   Likes Received
   874
   Likes Given
   59

   Default

   [QUOTE=Sir. Burn;3830295]Ok, Lakini yalikua yakikutokea wakati unaishi kwa hiyo Nyumba?[/QU hapana ndugu

  9. mageuzi1992's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th April 2010
   Posts : 2,520
   Rep Power : 134351
   Likes Received
   218
   Likes Given
   141

   Default Re: Nyumba yenye pande mbili inauzwa Arusha!

   mh! mimi najua nyumba nyingi zinaanzia pande nne na kuendelea sasa hiyo ya pande MBILI mh! Inatia shaka maana na nembo ya freemasons au majini ina pande mbili

  10. Apolinary's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th August 2011
   Location : SAN DIEGO COMMUNITY
   Posts : 4,610
   Rep Power : 98783
   Likes Received
   874
   Likes Given
   59

   Default

   [QUOTE=mageuzi1992;3831009]mh! mimi najua nyumba nyingi zinaanzia pande nne na kuendelea sasa hiyo ya pande MBILI mh! Inatia shaka maana na nembo ya freemasons au majini ina pande mbili[/QUmambo ya majin yamekujaje kwenye nyumba tuache mambo ya kuhis

  11. Kiduku's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th September 2010
   Posts : 481
   Rep Power : 666
   Likes Received
   70
   Likes Given
   683

   Default Re: Nyumba yenye pande mbili inauzwa Arusha!

   kwani matejoo iko barabara ya moshi - arusha?

   acha utani na akili za watu, hamia jukwaa la utani na udaku

  12. Fidel80's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2008
   Location : UVUNGUNI
   Posts : 21,971
   Rep Power : 127371
   Likes Received
   4156
   Likes Given
   1349

   Default Re: Nyumba yenye pande mbili inauzwa Arusha!

   Quote By Apolonary View Post
   Jumatano njema iwe kwenu wanajf kuna nyumba inauzwa arusha mjini eneo la matejoo. mita 300 kutoka barabara ya Arusha to Moshi. Nyumba ina pande mbili. upande wa kwanza una vyumba (4)single. upande wa pili una vyumba (4) dabo. nyumba ipo katika hali nzuri. bei milion 70 NB.NYUMBA HAINA MGOGORO WOWOTE WA KIFAMILIA NK. KWA ANAYEHITAJI ANI PM KWA MAELEZO ZAID.
   Huko matejoo kuna mateja sana nini mkuu? Isije ikawa location sio hii.
   **^^+..Ukiuza Utumbo usiogope nzi..+^^**
   Chuda Raha
   Email: [email protected]

  13. Apolinary's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th August 2011
   Location : SAN DIEGO COMMUNITY
   Posts : 4,610
   Rep Power : 98783
   Likes Received
   874
   Likes Given
   59

   Default

   [QUOTE=Fidel80;3833577]Huko matejoo kuna mateja sana nini mkuu? Isije ikawa location sio hii.[/QU sio matejoo ile ya ndani ni karibu na seven up upande wa kusini


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...