hiki ni kiwanja kilichopo maeneo ya Misugusugu - KIBAHA upande wa kushoto kama unaelekea DSM.

umbali:- ni kilometa 1 toka morogoro road ukubwa:- ni ekari 2 (na inazidi kidogo)

hati/offer: hakina (hakijapimwa)

bei: Tshs Milioni 18 ( hakuna dalali)

NB: kipo karibu na bomba kuu la maji umbali karibia mita 50 hivi na ni kandokando mwa barabara itokayo bagamoyo