JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Jinsi ya kupata mkopo!

  Report Post
  Results 1 to 5 of 5
  1. #1
   VIDO's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 20th September 2011
   Posts : 7
   Rep Power : 521
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Post Jinsi ya kupata mkopo!

   Jaman wa JF,naomben msaada wenu,my father ana biashara ya HARDWARE ina thamani ya more than 5 million anaitaji MKOPO ya 10 million kw jili ya kuiboresha hiyo biashara so problem ni kwamba liences ya biashara hiyo ameandika JINA LANGU na mim nimwafunzi nimeenda BANKS wamenipa condition:


   1Nifungue A/C...Hiyo ninayo
   2.CASH FLOW yang iwe nzuri. So hapa kweny CASH FLOW ndiyo na hisi nitashindwa kutekeleze coz me ni mwafunzi cash flow i mean itakuwa ni kawaida ambayo itanizuia kuchukuwa mkopo.


   "NAITAJI MSAADA WENU WA MAWAZO NIFANYA JE"


  2. Entrepreneur's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th June 2011
   Posts : 1,092
   Rep Power : 754
   Likes Received
   592
   Likes Given
   176

   Default Re: Jinsi ya kupata mkopo!

   Hongera kwa juhudi zenu za kujiletea maendeleo zaidi. Cha kufanya ni kumwambia baba yako awe anatumia akaunti yako (personal account) kwa shughuli za hiyo biashara. Yaan awe anadeposit hela yote ya mauzo huko na muwe mna-withdraw fedha ya matumizi kwenye hiyo akaunti. Hapo mtatengeneza Cash flow.

   Hata hivyo kama mnataka 10M wakati thamani halisi ya duka ni 5m itakuwa ngumu kidogo. Hapo itatakiwe muwe na asset nyingine, haswa immovable property (kama Nyumba hivi) ili muweze kupata hiyo loan.

   Lakini ingekuwa busara zaidi kama biashara yenu itakuwa formalised (either iwe PARTNERSHIP au Limited Company) ili nyie (wewe na baba yako) muwe shareholders na muwe na akaunti ya biashara, halafu babako awe authorized ku-opperate hiyo account. Mkifanya hivyo mtaenda mbele kwa mafanikio zaidi, na hutaweza kuchanganya shule na biashara
   "Facts are treasonous and dangerous in an empire of lies, fraud and propaganda"

  3. #3
   VIDO's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 20th September 2011
   Posts : 7
   Rep Power : 521
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Jinsi ya kupata mkopo!

   dah gud idea.....yup nita mshauri nisikilize at sema je..........................
   Last edited by VIDO; 26th September 2011 at 15:50.

  4. #4
   MTAZAMO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th February 2011
   Location : KAISHO-KYERWA
   Posts : 9,887
   Rep Power : 429498958
   Likes Received
   7042
   Likes Given
   15857

   Default

   Quote By Entrepreneur View Post
   Hongera kwa juhudi zenu za kujiletea maendeleo zaidi. Cha kufanya ni kumwambia baba yako awe anatumia akaunti yako (personal account) kwa shughuli za hiyo biashara. Yaan awe anadeposit hela yote ya mauzo huko na muwe mna-withdraw fedha ya matumizi kwenye hiyo akaunti. Hapo mtatengeneza Cash flow.

   Hata hivyo kama mnataka 10M wakati thamani halisi ya duka ni 5m itakuwa ngumu kidogo. Hapo itatakiwe muwe na asset nyingine, haswa immovable property (kama Nyumba hivi) ili muweze kupata hiyo loan.

   Lakini ingekuwa busara zaidi kama biashara yenu itakuwa formalised (either iwe PARTNERSHIP au Limited Company) ili nyie (wewe na baba yako) muwe shareholders na muwe na akaunti ya biashara, halafu babako awe authorized ku-opperate hiyo account. Mkifanya hivyo mtaenda mbele kwa mafanikio zaidi, na hutaweza kuchanganya shule na biashara
   Mkuu umenifurahisha kwa moyo wako wa kujitolea kutoa maelezo mazuri sana,mafupi yanayojitosheleza.huu ni mfano wa kuigwa humu JF.ndugu aliyeomba msaada,fata ushauri huo uliotolewa na achukue mkopo kidogo kwa malengo ili msipate shida kurejesha kwani inategemea sana na turnover ya bness yenu.mikopo yetu ina riba kubwa sana si chini ya 20%! Kila lakheri ndugu.

  5. #5
   VIDO's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 20th September 2011
   Posts : 7
   Rep Power : 521
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Jinsi ya kupata mkopo!

   Thix!so 20% in amount exceed 10 ml ndo unarudisha 20%........................... ......or  Similar Topics

  1. Ombi la kupata namba za simu bodi ya mkopo zinazopatikana.
   By PASKAZIA KAJUNA in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 3
   Last Post: 18th December 2011, 22:45
  2. Msaada wa kupata mkopo wa biashara.
   By raia tz in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 22
   Last Post: 16th December 2011, 09:27
  3. Naomba msaada wa maelekezo kupata mkopo mkubwa
   By Kintiku in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 3
   Last Post: 30th July 2011, 13:49
  4. Inawezekana kupata mkopo Benki kwa kutumia Offer ya kiwanja?
   By thereitis in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 8
   Last Post: 5th April 2011, 12:26
  5. Ombi la msaada wa namna ya kupata mkopo wa mil 50.
   By Mrekebishaji in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 3
   Last Post: 28th February 2011, 12:48

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...