JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Soko la hisa Dar es salaam

  Report Post
  Results 1 to 10 of 10
  1. menny terry's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 18th March 2011
   Posts : 179
   Rep Power : 554
   Likes Received
   24
   Likes Given
   0

   Default Soko la hisa Dar es salaam

   wakuu samahanini nimekuwa nikilisikia soko la hisa la Dar es salaam lakini sijui lipo wapi na je kama nikinuoua pengine hisa za milioni moja gawiwo huwa shilingi ngapi?Naombeni anaejua anisaidie.Nimefuatilia la soko la Hisa la Brazil nimeona watu wakitajirika sana sasa sijua hapa kwetu hali ikoje.


  2. Kombo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th October 2010
   Posts : 1,822
   Rep Power : 903
   Likes Received
   475
   Likes Given
   41

   Default Re: soko la hisa Dar es salaam.

   Nenda Twiga House pale Samora Avenue.

   Unaweza kupata taarifa zaidi kupitia website yao: www.dse.co.tz

   Kwenye ununuzi wa Hisa hakuna lugha hiyo ya kutaka kununua hisa za Shilingi Milioni Moja na kufikiria faida utakayopata, jambo la msingi ni kujua hisa za kampuni/shirika lipi ziko juu kwa kipindi husika na zinapanda thamani kwa haraka na ndipo utaweza kufanya maamuzi ya kununua au la. Kwenye website yao kuna taarifa za soko za kila siku, anzia hapo.

  3. Rich Dad's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th December 2010
   Posts : 745
   Rep Power : 681
   Likes Received
   103
   Likes Given
   12

   Default Re: soko la hisa Dar es salaam.

   Remember to invest the amount of money which you can afford to loose.
   Bei ya hisa huwa dictated na forces of supply and demand. Kwa hivyo wauzaji wa hisa wakiwa wengi kuliko wanunuzi basi bei hushuka, and the vice versa is true.
   Kwa sasa soko la hisa la dar es salaam investors ni wachache, na kinyume chake speculators ni wengi.

  4. SUPERUSER's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th June 2011
   Posts : 779
   Rep Power : 662
   Likes Received
   149
   Likes Given
   30

   Default Re: soko la hisa Dar es salaam.

   Also kama ni beginner jarib kunuua hisa kwenye mutual funds like umoja trust fund coz risk inakua ndogo..the most important thing ni kuona thamani au bei ya hisa za kampuni husika inapanda hapo ndo unaeza kuamua kuuza na kupata faida..eg nmb kipindi wanaissue share zao kwa mara ya kwanza(IPO) bei ilikua TZS 150 then kuna kipindi nikaskia imefika TZS 500....its a good business but risky..kama umefatilia news this week wanasema masoko ya hisa uko Asia yamedrop that means people getting loses..all the best!

  5. rmashauri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2009
   Location : Ng'wanza Sukuma
   Posts : 3,018
   Rep Power : 1336
   Likes Received
   407
   Likes Given
   873

   Default Re: soko la hisa Dar es salaam.

   Mimi nilinunua hisa za Twiga Cement kwa Tshs. 435 kwa kila hisa kabla ya kuingizwa DSE. Kwa sasa hisa moja ni Tshs. 1,960. Tatizo ni kuwa hisa walizokuwa wanauza zilikuwa kidogo kuliko demand hivyo watu wote tulirudishiwa pesa zetu na kupewa only around 40 % ya hisa ulizotolea pesa. Gawiwo huwa linabadilika kila mwaka kutokana na maamuzi ya wakubwa na faida iliyopatikana. Hakuna constant gawio kwa kila mwaka.
   Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote (Mithali 14:34)


  6. Koba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd July 2007
   Location : Pasadena California
   Posts : 5,528
   Rep Power : 1907
   Likes Received
   710
   Likes Given
   750

   Default Re: Soko la hisa Dar es salaam

   Hawa DSE na hiyo website yao ni aibu tupu,theres nothing or any serious information kwenye website yao unaweza kutumia kufanya maamuzi ya kununua au kuuza hisa,hawa DSE ni vihiyo na ni reflection ya uzembe uliokithiri kwenye makampuni mengi TZ...yaani ni upuuzi mtupu wanashindwa kuajiri mtu wa technology to set web ambayo inaeleweka?sijui wanalipwa kufanya kazi gani hawa na sioni soko la hisa kukua kama DSE ndio hii ninayoiona kwenye web
   "Freedom is incomplete if it is exercised in poverty."-Harry Schwaz

  7. networker's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd April 2011
   Posts : 549
   Rep Power : 107882
   Likes Received
   151
   Likes Given
   69

   Default Re: Soko la hisa Dar es salaam

   Kw ushauri wangu kanunue hisa za vinywaji kama bia keani mara ya mwisho ilikuwa 1800 saiv nimecheki ni around 2000 na bia zina panda bei kila siku. TCC

   UKIENDA DSE hawata kuzia hisa indtead uta ambiwauendw kwamabroker wako jengo hilo hilo

  8. ams acks's Avatar
   Member Array
   Join Date : 21st June 2013
   Posts : 91
   Rep Power : 419
   Likes Received
   8
   Likes Given
   0

   Default

   tukumbuke hii topic

  9. Danp36's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st July 2010
   Location : Kigamboni new city
   Posts : 1,503
   Rep Power : 852
   Likes Received
   198
   Likes Given
   1368

   Default

   Quote By Koba View Post
   Hawa DSE na hiyo website yao ni aibu tupu,theres nothing or any serious information kwenye website yao unaweza kutumia kufanya maamuzi ya kununua au kuuza hisa,hawa DSE ni vihiyo na ni reflection ya uzembe uliokithiri kwenye makampuni mengi TZ...yaani ni upuuzi mtupu wanashindwa kuajiri mtu wa technology to set web ambayo inaeleweka?sijui wanalipwa kufanya kazi gani hawa na sioni soko la hisa kukua kama DSE ndio hii ninayoiona kwenye web
   kweli mkuu yaan hata mvuto haina,information chache

  10. mlokole halisi's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 3rd January 2012
   Location : arusha
   Posts : 142
   Rep Power : 505
   Likes Received
   30
   Likes Given
   1

   Default Re: Soko la hisa Dar es salaam

   nimejifunza vitu vingi sana wakuu ila kuna ishu zinanisumbua bado kuhusu uwekezaji


  Similar Topics

  1. Soko la mashudu (sunflower cake) Dar es Salaam likoje?
   By Mponjoli in forum Ujasiriamali
   Replies: 10
   Last Post: 17th February 2014, 11:32
  2. Replies: 33
   Last Post: 24th October 2011, 17:04
  3. Nafasi ya kazi soko la hisa dsm (dse)
   By Baba Mtu in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 0
   Last Post: 15th October 2010, 10:51
  4. Kuanguka kwa soko la hisa Marekani
   By NGAUTI in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 5
   Last Post: 25th September 2008, 00:03

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...