JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ufugaji wa samaki

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 24
  1. Mashurano's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th July 2011
   Posts : 23
   Rep Power : 447
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Ufugaji wa samaki

   Waungwana naomba mtu mwenye ujuzi wa kufuga samaki anifundishe au anielekeze wap ntapata msaada


  2. ANKOJEI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th November 2010
   Posts : 487
   Rep Power : 1082538
   Likes Received
   114
   Likes Given
   98

   Default Re: Ufugaji wa samaki

   je uko tayari nikutumie pdf file ili uisome, ni ya kimombo. leave your email address i will send it
   kanuni ya kupata ni kutoa

  3. Washawasha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th August 2006
   Location : jo'burg
   Posts : 7,318
   Rep Power : 2208577
   Likes Received
   1486
   Likes Given
   2787

   Default

   Quote By ANKOJEI View Post
   je uko tayari nikutumie pdf file ili uisome, ni ya kimombo. leave your email address i will send it
   im interested,mine is [email protected]

  4. Bukyanagandi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2009
   Location : BLACKPOOL
   Posts : 2,787
   Rep Power : 1137
   Likes Received
   1197
   Likes Given
   1652

   Default

   Quote By ANKOJEI View Post
   je uko tayari nikutumie pdf file ili uisome, ni ya kimombo. leave your email address i will send it
   <br />
   <br />
   Me too naomba nitumie kwenye E-MAIL address ifuatayo: [email protected]

  5. Kijana Juzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th August 2010
   Posts : 620
   Rep Power : 599938
   Likes Received
   309
   Likes Given
   211

   Default Re: Ufugaji wa samaki

   Kuna jamaa namfahamu ni mkali sana kwenye hii tasnia ya ufugaji samaki!!! Anweza kuanza kwa kukufanyia survrey eneo zuri na hata namna ya kutengeneza bwawa kuendana na aina ya samamki unayotaka kufuga!!

   Upo serious ni PM nikupe contacts zake, yupo Dar!!

   Quote By Mashurano View Post
   Waungwana naomba mtu mwenye ujuzi wa kufuga samaki anifundishe au anielekeze wap ntapata msaada

  6. JF SMS Swahili

  7. MAMA POROJO's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2007
   Posts : 4,944
   Rep Power : 1909
   Likes Received
   679
   Likes Given
   433

   Default Re: Ufugaji wa samaki

   Quote By Mashurano View Post
   Waungwana naomba mtu mwenye ujuzi wa kufuga samaki anifundishe au anielekeze wap ntapata msaada   http://www.jamiiforums.com/business-...tml#post998161
   'TF' likes this.

  8. Shine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th February 2011
   Posts : 11,441
   Rep Power : 2928
   Likes Received
   1270
   Likes Given
   497

   Default Re: Ufugaji wa samaki

   kwa watu mliopiga agr.

  9. newmzalendo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd March 2009
   Location : tanganyika
   Posts : 1,104
   Rep Power : 786
   Likes Received
   219
   Likes Given
   85

   Default Re: Ufugaji wa samaki

   bora uipost hiyo PDF hapa ili forum members tufaidike na ujuzi huo
   Quote By ANKOJEI View Post
   je uko tayari nikutumie pdf file ili uisome, ni ya kimombo. leave your email address i will send it
   Pro bono publico - For the public good

  10. Mashurano's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th July 2011
   Posts : 23
   Rep Power : 447
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   Ntashukuru email ni [email protected]

  11. Mashurano's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th July 2011
   Posts : 23
   Rep Power : 447
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   Thanks

  12. Mashurano's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th July 2011
   Posts : 23
   Rep Power : 447
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   sitanii mkuu kwa sababu nia n ktafuta pesa

  13. Malila's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2007
   Location : Makete mjini
   Posts : 3,218
   Rep Power : 11141
   Likes Received
   1441
   Likes Given
   665

   Default Re: Ufugaji wa samaki

   Quote By Mashurano View Post
   sitanii mkuu kwa sababu nia n ktafuta pesa
   Nikwambie kitu mkuu,
   Siku moja ahirisha kwenda kupumzika na shemeji,kama uko Dar panda Abood bus kwenda Morogoro,shuka Kinguluira baada ya kupita Mkambarani, uliza kituo cha samaki FAO, hapo utapanda boda boda ya buku moja. Ukifika utapata fursa kubwa ya kuona kwa vitendo. Mimi ilinichukua masaa manne kukaa pale kituoni. Nilipita maabara, bwawani na sehemu ya vifaranga/fingerlings. Kituo ni cha serikali,watumishi baadhi wanaishi pale pale, hakuna habari za njoo kesho ( si unajua fungu la FAO). Ukitoka pale,watakupa na watalaamu wao walioko ktk eneo lako.
   Majimoto, Mutensa, MamaEE and 1 others like this.
   Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

  14. Edson Zephania's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th April 2011
   Location : Dodoma, Tanganyika
   Posts : 497
   Rep Power : 559
   Likes Received
   108
   Likes Given
   477

   Default Re: Ufugaji wa samaki

   Thanx mkuu

  15. seandid2000's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 22nd April 2011
   Posts : 6
   Rep Power : 459
   Likes Received
   1
   Likes Given
   2

   Default Re: Ufugaji wa samaki

   Kija juzi mi nina nia sana ukiweza nipatia uyo mkali utakuwa umenisaidia sana


   Thanx in advance

  16. Malila's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2007
   Location : Makete mjini
   Posts : 3,218
   Rep Power : 11141
   Likes Received
   1441
   Likes Given
   665

   Default Re: Ufugaji wa samaki

   Quote By seandid2000 View Post
   Kija juzi mi nina nia sana ukiweza nipatia uyo mkali utakuwa umenisaidia sana


   Thanx in advance
   Kama utaona Kijana wa juzi hakupi majibu fasta, mtwangie huyu jamaa 0752446030, ukiona anakuchelewesha rudi jamvini tufanye kwa njia nyingine.
   Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

  17. Mtego wa Noti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2010
   Location : kichakani
   Posts : 2,119
   Rep Power : 901
   Likes Received
   367
   Likes Given
   593

   Default Re: Ufugaji wa samaki

   Quote By Malila View Post
   Kama utaona Kijana wa juzi hakupi majibu fasta, mtwangie huyu jamaa 0752446030, ukiona anakuchelewesha rudi jamvini tufanye kwa njia nyingine.
   Nilishakuwa na plan ya kufuga samaki ila nikawa nashindwa kufahamu costs involved na hata ivo sikuwa vyema kibajeti ingawa shamba la kuweza kufanyia hiyo buisness lipo. Eneo langu ni shamba la kawaida lakini vilevile lina bonde ambalo maji huwa yanatiririka seasonally hasa masika. huwa nalima mpunga katika bonge hili na wakati wa masika kwa kweli maji huwa yanafurika sana ingawa mvua zinapoisha, kiasi cha maji hupungua na kubakia kama vijisima vidogovidogo.
   Swali,..Je naweza kutengeneza fish pond katika eneo la namna hiyo? I mean humohumo bondeni au niweke hiyo fish pond pembeni kidogo ya hilo bonde ingawa slope inakaribia 5%. vilevile eneo hilo hakuna source ingine ya maji zaidi ya hicho kijibonde ambacho ni seasonal ingawa ukichimba unaweza kupata plenty of water kwa chini. Ni feasible kuweza kutumia maji ya ku-pump kutoka ardhini kwa kutumia waterpump?
   Naombeni ushauri katika hili,....JF is great.....
   Ncha ya mkuki haipigwi ngumi, na kina cha maji hakipimwi kwa kutia miguu yote kwenye maji!!!

  18. Derimto's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Posts : 1,232
   Rep Power : 737
   Likes Received
   261
   Likes Given
   5

   Default Re: Ufugaji wa samaki

   Nadhani nitafanya hivyo kwenye kashamba kangu nianze kufaidi samaki wa kujifugia mwenyewe

  19. Mashurano's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th July 2011
   Posts : 23
   Rep Power : 447
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Ufugaji wa samaki

   jaman mbna iyo pdf aitumwi au kwa sabab nilikua out muda mref

  20. #19
   Malila's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2007
   Location : Makete mjini
   Posts : 3,218
   Rep Power : 11141
   Likes Received
   1441
   Likes Given
   665

   Default Re: Ufugaji wa samaki

   Quote By Mashurano View Post
   jaman mbna iyo pdf aitumwi au kwa sabab nilikua out muda mref
   Vp mimi nikikutumia kijarida cha ufugaji wa Kambale na sato uko tayari?
   Mtu mwema huacha urithi kwa wana wa wanawe.

  21. #20
   Namdawa's Avatar
   Member Array
   Join Date : 13th October 2009
   Posts : 37
   Rep Power : 556
   Likes Received
   8
   Likes Given
   0

   Default Re: Ufugaji wa samaki


  22. JF SMS Swahili

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Similar Topics

  1. Ufugaji wa Samaki
   By ELNIN0 in forum Ujasiriamali
   Replies: 10
   Last Post: 27th January 2014, 16:47
  2. UFUGAJI WA SAMAKI WA MAPAMBO eg Goldfish
   By Don Mangi in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 5
   Last Post: 5th December 2011, 14:03
  3. SOKO LA SAMAKI FERI:Kichaka cha samaki kutokana uvuvi haramu
   By Yericko Nyerere in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 1
   Last Post: 8th October 2011, 11:30
  4. Ufugaji wa samaki na viumbe wengine wa majini
   By Namdawa in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 11
   Last Post: 3rd March 2011, 00:24

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...