JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: nipesababu ya kushindwa

  Report Post
  Results 1 to 2 of 2
  1. hateme's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 20th July 2011
   Posts : 7
   Rep Power : 529
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default nipesababu ya kushindwa

   eneo la ekari moja tutali nunua kwa shilingi laki nnne 400,000/= ekari kumi tuta nunua milion nne 4,000,000/= tutalima ekari moja kwa shilingi elfu thelasini 30,000/= ekari kumi lakitatu 300,000/ kilimo cha pili lakisita 600,000/= kupalilia ekari moja elfu ishirini ekari kumi laki mbili jumla lakinane800,000/= pamoja na shamba millioni nne laki nane4,800,000/= kumwagilia ekari kumi diseal lita 50 fanya lita 3000 unapata laki naelfu hamsini 150,000/= tuta mwagilia mara kumi 1500,000 total milion sita laki tatu6,300,000, mbegu za vitunguu kutengeneza vitalu na mpaka tuna pandikiza shambani haiwezi kuzidi milioni nne 4000,000/ total milion kuni laki tatu 10,300,000/=.
   ekari moja imatoa vitunguu gunia tisini hadi mia tuashumu tisini 90 ekari kumi tunapata gunia mia tisa 900 gunia moja huuzwa kati ya laki na ishirini hadi elfu tisini ashumu elfu tisini 90,000 fanya 90,000x900 81,000,000 hatakama mambo yakiharibika kiasigani huwezi pata hasara


  2. babalao's Avatar
   Forum Spammer Array
   Join Date : 11th March 2006
   Location : Daresalaam
   Posts : 431
   Rep Power : 0
   Likes Received
   42
   Likes Given
   4

   Default Re: nipesababu ya kushindwa

   Sababu yako ya kushindwa huna mpango thabiti wa kutafuta soko jee mazao yako utauza wapi? au unalima kwanza ndiyo ukatafute soko? Nakuomba tafuta mshauri wa biashara akusaidie kuandaa mpango wa biashara Business plan ili usiingie mkenge. Ukitaka kufanya utafiti wa mambo ya kilimo mtafute Malila na Kanyagio ukitaka ushauri wa biashara na business plan muone babalao. JF kuna kila kitu Vingnevyo umeshindwa kabla hujaanza


  Similar Topics

  1. Kukubali kushindwa!
   By Jidulamabambase in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 8
   Last Post: 4th October 2011, 10:06
  2. Ccm haikujiandaa kushindwa
   By Japhari Shabani (RIP) in forum Uchaguzi Tanzania
   Replies: 0
   Last Post: 1st November 2010, 14:41
  3. Hotuba ya jk ya kukubali kushindwa
   By Mtaka Haki in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 8
   Last Post: 18th October 2010, 15:00
  4. JK bado hafikirii kushindwa?
   By Ntemi Kazwile in forum Uchaguzi Tanzania
   Replies: 1
   Last Post: 15th August 2010, 11:56

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...