I always wonder why do people say 'ATM machine' while ATM is a short term for 'Automated Teller Machine' so then why add machine again at the end of the word ATM while 'M' stands for machine?
Also why do people say PIN number while PIN is a short term for 'Personal Identification Number' why add number again while the 'N' in PIN stands for 'Number'
Last edited by Good Guy; 3rd January 2011 at 14:29.
Jamani ni muda sasa natafuta mtoto wa ku-adopt tena huyo pia nimempenda akiwasha hayo macho mi vibaka hawanipati???unapatikana wapi nije,shilingi ngapi au bure manake si ni tatizo kwako???
ahahah!!Karibu thana,nitakupatia bure...lakini naogopa kusema cjui kama utakaweza nawe pia!Manake haka katoto ni zaidi ya Harry Potter.
"The greatest healing therapy is friendship and love." ~ Hubert Humphrey
ukienda kwenye AYM kwenyewe utakuta pameandikwa "ATM" so kama mtu anakuelekeza lazima atakuambi pale kwenye ATM kwani it appears kwamba ATM ndio jina la zile mashine. so sioni wanapokosea kusema ATM mashine as long as mashine zenyewe zimebandika jina la ATM.
the same applies kwenye PIN code kwa saabu jina lake ni PIN na ni namba kwa hiyo kuitofautisha na namab zingine kwa jina lake ndio inatumika kifungu nomino "PIN namba"
Mtu awaye yote asiyempenda BWANA, na awe amelaaniwa. MARAN ATHA!!!
(1 Wakorintho 16:22)
unajua ni nini tatzo wahaya ndo wanaoleta haya mambo yote anajidai kumbe ana2halibia lugha 2 hapa so chanzo chote hk ni wahaya sina maana ninaukabila ila wao ndo wanaohalibu lugha
Hakuna uhusiano kamili kati ya neno na kifaa au kitendo fulani, na kwa maneno yanayo tamkwa kwa kifupi yanaweza kuwakilisha maneno mengi ilikuondoa utata neno la mwisho linarudiwa mfano CRDB Bank na mengineyo.
Hakuna uhusiano kamili kati ya neno na kifaa au kitendo fulani, na kwa maneno yanayo tamkwa kwa kifupi yanaweza kuwakilisha maneno mengi ilikuondoa utata neno la mwisho linarudiwa mfano CRDB Bank na mengineyo.
unajua ni nini tatzo wahaya ndo wanaoleta haya mambo yote anajidai kumbe ana2halibia lugha 2 hapa so chanzo chote hk ni wahaya sina maana ninaukabila ila wao ndo wanaohalibu lugha
Haya Murefu umeyataka mwenyewe, umetukaribisha wahaya: Umeanza na Wahaya (wingi), anajidai (umoja). ana2halibia (sijui kitenzi ulichokitumia kinatokana na shina lipi, mi najua "HARIBU", kwa hiyo ungeandika wanatuharibia.
Naishia hapo tu dada/kaka kukuonesha hata wewe una matatizo yako. Sijui umewahi kuisikia ile methali isemayo "Nyani haoni kundule!"; au lile andiko lisemalo "Toa kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako."
Kiswahili hujui, kuandika hujui ... tatizo wahaya.
Honesty is not a spare wheel that you pull out when you are in trouble; it is a steering wheel that keeps you on the right path throughout the life's journey.
Follow Us Here