Show/Hide This

  Topic: Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

  Report Post
  Results 1 to 13 of 13
  1. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 33,902
   Rep Power : 429503822
   Likes Received
   20355
   Likes Given
   62649

   Angry Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar   Wanawake wanaojihusisha na kazi ya kucheza uchi kutoka kundi maarufu la Welawela lenye makazi yake Mwananyamala jijini Dar es Salaam (wenye fulana nyeupe na kofia) wakipewa maelekezo na mtangazaji wa kituo cha Luninga na Redio cha East Africa, Maimartha Jesse kabla ya kucheza katika onesho la taarabu lililofanyika ndani ya Hoteli ya Travertine jana.

   KUKATWA MGUU SIYO MWISHO WA KUSAKATA MSONDO!

   Shabiki huyu wa Msondo Music Band licha ya kukatwa mguu mmoja lakini usiku wa kuamkia leo alinaswa na kamera yetu ndani ya ukumbi wa Africentre akiyarudi mangoma kama hana akili nzuri.  2. Limbani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th April 2008
   Location : Kisiwani
   Posts : 1,334
   Rep Power : 929
   Likes Received
   312
   Likes Given
   92

   Default Re: Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

   Mkuu hao wela wela acha tuu, kama ni dada yako sijui unafanyaje!!
   amidst the mists and coldest frost, he thrust his fists against the posts, and still insists he sees the ghosts...

  3. upele's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2010
   Posts : 367
   Rep Power : 622
   Likes Received
   31
   Likes Given
   1

   Default Re: Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

   huo wake mie hainipi shida nitalet y= x
   Conquest

  4. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 33,902
   Rep Power : 429503822
   Likes Received
   20355
   Likes Given
   62649

   Default Re: Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

   Quote By Limbani View Post
   Mkuu hao wela wela acha tuu, kama ni dada yako sijui unafanyaje!!
   Mkuu umefika mbali sana huko ....... kama ni Dada yangu sitazungumza nae mpaka kufa kwake au kufa kwangu i hate this

  5. Lekanjobe Kubinika's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th December 2006
   Location : Tanzania
   Posts : 2,781
   Rep Power : 8833
   Likes Received
   432
   Likes Given
   752

   Default Re: Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

   Mbona sijauona huo uchi anaouelezea mleta hoja? naona wanaocheza wamevaa vizuri tu. Picha anazoonyesha ni very cool.

  6. Pretty's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th March 2009
   Location : Chumbani.
   Posts : 2,514
   Rep Power : 57918970
   Likes Received
   371
   Likes Given
   119

   Default Re: Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

   Quote By Lekanjobe Kubinika View Post
   Mbona sijauona huo uchi anaouelezea mleta hoja? naona wanaocheza wamevaa vizuri tu. Picha anazoonyesha ni very cool.
   .......Hata mie sioni waliopo uchi hapo, naona kila mtu amevaa nguo tena za heshima wala sioni kimini au kitop kwa hao watu.
   A mother who is really a mother is never free.

  7. upele's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd March 2010
   Posts : 367
   Rep Power : 622
   Likes Received
   31
   Likes Given
   1

   Default Re: Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

   point au ajui mavazi ya sehemu kama hizo na kawaida wacheza shoo hao mbona wapo poa ujaona wa bendi fulani nini kakak hao noma utamu nje nje
   Conquest

  8. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 33,902
   Rep Power : 429503822
   Likes Received
   20355
   Likes Given
   62649

   Default Re: Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

   Quote By Lekanjobe Kubinika View Post
   Mbona sijauona huo uchi anaouelezea mleta hoja? naona wanaocheza wamevaa vizuri tu. Picha anazoonyesha ni very cool.
   Mkuu Nenda kule (Mambo ya kikubwa) Utawaona au bonyeza hapa http://www.jamiiforums.com/mambo-ya-...i-wabongo.html

  9. Tall's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th February 2010
   Location : Tandale kwa mtogole
   Posts : 1,433
   Rep Power : 848
   Likes Received
   144
   Likes Given
   246

   Default Re: Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

   Quote By Pretty View Post
   .......Hata mie sioni waliopo uchi hapo, naona kila mtu amevaa nguo tena za heshima wala sioni kimini au kitop kwa hao watu.
   Akina dada wawatu wastaarabu kabisa, au jamaa ana ugomvi nao nini? mbona nguo fresh tu?

  10. Kiranja Mkuu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th February 2010
   Posts : 2,104
   Rep Power : 979
   Likes Received
   307
   Likes Given
   49

   Default Re: Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

   Show zao zinapigwa wapi nikaoshe macho??
   Napenda sana mambo ya kusasambua...
   Fulll burudani.

  11. Ndibalema's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th April 2008
   Location : Mbagala
   Posts : 10,453
   Rep Power : 291617684
   Likes Received
   3999
   Likes Given
   3714

   Default Re: Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

   Quote By tall View Post
   Akina dada wawatu wastaarabu kabisa, au jamaa ana ugomvi nao nini? mbona nguo fresh tu?
   Hapo bado hawajaanza kazi ndo maana wanaonekana smart.
   Lakini sebene likianza, hutoamini kama ni hao unao waona hapo.

  12. Chimunguru's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2009
   Posts : 9,135
   Rep Power : 2505
   Likes Received
   1724
   Likes Given
   929

   Default Re: Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

   Yap wanacheza uchi hao, kwenye shoo zao ikifika saa saba au nane usiku wanasaula ni nooooooooooooma wakuu

  13. Mwananzuoni's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 22nd April 2009
   Location : Mtaa wa Saba
   Posts : 194
   Rep Power : 640
   Likes Received
   13
   Likes Given
   26

   Default Re: Kundi la wacheza uchi lazidi kutesa dar

   Tuambie show zao zinaonyeshwa wapi?. Tusiwaseme kumbe hawafanyi hayo mambo.


  Similar Topics

  1. Replies: 0
   Last Post: 5th August 2011, 00:50
  2. Replies: 37
   Last Post: 30th May 2011, 09:52
  3. Washushwa kwenye basi uchi uchi!
   By MziziMkavu in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 7
   Last Post: 9th June 2009, 04:04
  4. Kundi la Masha lageuza zengwe la ID kwa kundi la Membe
   By omarilyas in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 7
   Last Post: 5th February 2009, 05:11

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...