JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: matokeo kidato cha nne 2012/2013

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 22
  1. Deejay nasmile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2011
   Posts : 2,023
   Rep Power : 1191
   Likes Received
   404
   Likes Given
   240

   Default matokeo kidato cha nne 2012/2013

   Click image for larger version. 

Name:	FAILED.jpg 
Views:	1449 
Size:	33.0 KB 
ID:	82674

   sasa unashangaa nini!!! Hayo ndio matokeo yako uliyokuwa uanyaulizia kila siku


  2. Justin Dimee's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th April 2012
   Posts : 1,059
   Rep Power : 700
   Likes Received
   148
   Likes Given
   30

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   Wajipange tu kuzurura mtaani na kujibwetekea tu kama hana hela yakurudia ndo kitu kitakacho fuata apo coz hana namna tena.

  3. Calvin donalds's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 10th February 2013
   Posts : 2
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   Hahahaha una utan na wa2 wew

  4. #4
   ndendi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th November 2012
   Posts : 625
   Rep Power : 582
   Likes Received
   146
   Likes Given
   105

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   Nafasi za kupiga debe ziko wazi,nyingi tu.

  5. Deejay nasmile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2011
   Posts : 2,023
   Rep Power : 1191
   Likes Received
   404
   Likes Given
   240

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   Quote By ndendi View Post
   Nafasi za kupiga debe ziko wazi,nyingi tu.
   niwekee moja...kuna demu wangu mmoja alilisiti afu amefeli tenaaaaa hahahah


  6. #6
   MRIHI's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th June 2011
   Posts : 21
   Rep Power : 539
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   Natafuta dereva wa bodaboda,matokeo yakikuzingua nitafute.

  7. Ignatus Ndibalema's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 19th July 2012
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   kufeli mtihani siyo kufeli maisha, dont be discouraged. Hiyo iwe changamoto

  8. Dula Ngwangwa's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 9th February 2013
   Posts : 9
   Rep Power : 448
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By MRIHI View Post
   Natafuta dereva wa bodaboda,matokeo yakikuzingua nitafute.
   Poa tu! lkn bodaboda lenywe co mbovu??? pia lisiwe la urithi mana kutoana sadaka naogopa...

  9. Tsaxara Hano's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 28th January 2013
   Posts : 2
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Calvin donalds View Post
   Hahahaha una utan na wa2 wew
   Mmmh!! Mnafanya mzaha?

  10. Sintembwa's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 10th February 2013
   Posts : 5
   Rep Power : 448
   Likes Received
   0
   Likes Given
   8

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   mwaka wao huuu maana sijawahi ona graf ya ufahuru inaongezeka ni kila mwaka nafuu ya uliopita sasa hapo ndo shazi mtaani karibuni mtaani ila msikate tamaa maana maisha ndo kipimo cha akili yakiwashinda na hayo basi ninyi ndo kwish neh.

  11. Ndelejha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2012
   Posts : 287
   Rep Power : 511
   Likes Received
   152
   Likes Given
   128

   Default

   Quote By Deejay nasmile View Post
   Click image for larger version. 

Name:	FAILED.jpg 
Views:	1449 
Size:	33.0 KB 
ID:	82674

   sasa unashangaa nini!!! Hayo ndio matokeo yako uliyokuwa uanyaulizia kila siku
   Mleta mada unakifahamu kidato cha nne..!!?? au ndo vile darasa la nne ukaona inatosha ukakimbilia u dj..!?? pole

  12. Deejay nasmile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th November 2011
   Posts : 2,023
   Rep Power : 1191
   Likes Received
   404
   Likes Given
   240

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   Quote By Ndelejha View Post
   Mleta mada unakifahamu kidato cha nne..!!?? au ndo vile darasa la nne ukaona inatosha ukakimbilia u dj..!?? pole
   mmmh we unadhani udj kama siasa ambazo zinaenda kwa propaganda na porojo kibaoo....u deejay wito mkuu akili zaidi inahitajika

  13. ALLY-AMMY's Avatar
   Member Array
   Join Date : 7th May 2012
   Posts : 11
   Rep Power : 488
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   Quote By Deejay nasmile View Post
   Click image for larger version. 

Name:	FAILED.jpg 
Views:	1449 
Size:	33.0 KB 
ID:	82674

   sasa unashangaa nini!!! Hayo ndio matokeo yako uliyokuwa uanyaulizia kila siku
   Tusiwatishee, bado niwadogozetu kwani kila familia ina Mtahiniwa...............

  14. #14
   ruwa's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 28th January 2013
   Posts : 2
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   mbona matokeo hayawekwi kwenye mtandao?

  15. the politician's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 15th November 2011
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   1

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   jaman matokeo yanapatikana vp!

  16. Mama timmy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd January 2013
   Posts : 660
   Rep Power : 10471
   Likes Received
   189
   Likes Given
   82

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   Kwa waliofaulu hong era sana na msibweteke na majibu Haya watu wanatoka na one ya point 7 ,six anatoka na dv 0 .waliofeli poleni na muchukulie Kama ni changamoto kwenu!simama ulipoanguka chagua njia ya kupitia mpaka utimize ndoto zako.kila laheri

  17. Presida2020's Avatar
   Member Array
   Join Date : 17th February 2013
   Posts : 28
   Rep Power : 450
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   Vijana wa sekondari waanze kuwa wabunifu hii ni moja tu ya mbinu kupunguza ajira. Ajira TATIZO NGUGU ZAN.GU.

  18. Razzydoctor's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 18th February 2013
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   Matoke haya noumar 2lio bahatika kuwa hat college 2mshukur mungu sana

  19. Winnysammy's Avatar
   Member Array
   Join Date : 19th February 2013
   Location : Germany
   Posts : 22
   Rep Power : 449
   Likes Received
   6
   Likes Given
   11

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   Ukipanda Michigan huvuni maembe get that in Ur head

  20. Washawasha's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th August 2006
   Location : jo'burg
   Posts : 8,083
   Rep Power : 54408467
   Likes Received
   1730
   Likes Given
   3089

   Default Re: matokeo kidato cha nne 2012/2013

   lakini ni kweli kabisa.
   Nalog off

   SHUKA HALINA MFUKO.
   BORA NIIANGALIE AFYA YANGU KWA SASA,KWA MAANA MAISHA YANGU KUNA WAMBEA WANANISAIDIA KUYAANGALIA.  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...