Mwanamke Mwenye Kiuno Chembamba Kama Nyigu - Page 2 - JamiiForums |The Home of Great Thinkers

Go Back   JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Jokes/Utani + Udaku/Gossips


Jokes/Utani + Udaku/Gossips Vimbwenga, Vunja Mbavu na udaku wa kila aina vimejaa humu!


Reply
 
LinkBack Thread Tools Rate Thread Display Modes
Old 2nd July 2009, 06:47 PM  
Mwanamke Mwenye Kiuno Chembamba Kama Nyigu
MziziMkavu MziziMkavu is online now 2nd July 2009, 06:47 PM



Kutokana na jinsi kiuno chake kilivyo chembamba sana watu wengi ambao huona picha zake hudhania labda ni picha za kutengenezwa kwa kutumia photoshop lakini ukweli ni kwamba mwanamke huyu yupo kweli duniani na ndiye anayeshikilia rekodi ya dunia ya binadamu mwenye kiuno chembamba kuliko wote duniani. Pichani Cathie Jung mkazi wa Connecticut Marekani ndiye anayeshikilia rekodi ya kuwa na kiuno chembamba sana kuliko watu wote duniani akiwa na kiuno chenye ukubwa wa inchi 15 (sentimeta 3 tu)

 
MziziMkavu's Avatar
MziziMkavu
JF Premium Member
Points: 1,784,201, Level: 100 Points: 1,784,201, Level: 100 Points: 1,784,201, Level: 100
Activity: 65% Activity: 65% Activity: 65%
Join Date: Tue Feb 2009
Posts: 2,822
Thanks: 445
Thanked 363 Times in 243 Posts
Views: 1473
Reply With Quote
  #11  
Old 3rd July 2009, 06:03 PM
Babuji Babuji is offline
Babuji Mropokaji
Senior Member
Points: 298,531, Level: 100 Points: 298,531, Level: 100 Points: 298,531, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
 
Join Date: Thu Nov 2008
Posts: 194
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 22
Babuji will become famous soon enoughBabuji will become famous soon enoughBabuji will become famous soon enoughBabuji will become famous soon enoughBabuji will become famous soon enoughBabuji will become famous soon enoughBabuji will become famous soon enoughBabuji will become famous soon enough
Default Re: Mwanamke Mwenye Kiuno Chembamba Kama Nyigu

Kutokana na jinsi kiuno chake kilivyo chembamba sana watu wengi ambao huona picha zake hudhania labda ni picha za kutengenezwa kwa kutumia photoshop lakini ukweli ni kwamba mwanamke huyu yupo kweli duniani na ndiye anayeshikilia rekodi ya dunia ya binadamu mwenye kiuno chembamba kuliko wote duniani. Pichani Cathie Jung mkazi wa Connecticut Marekani ndiye anayeshikilia rekodi ya kuwa na kiuno chembamba sana kuliko watu wote duniani akiwa na kiuno chenye ukubwa wa inchi 15 (sentimeta 38) tu.







Picha zaidi http://www.nifahamishe.com/photos_ne...45&&NewsId=599
Reply With Quote
  #12  
Old 7th July 2009, 04:07 PM
Lagatege Lagatege is offline
Lagatege consistent
JF Senior Expert Member
Points: 124,493, Level: 100 Points: 124,493, Level: 100 Points: 124,493, Level: 100
Activity: 2% Activity: 2% Activity: 2%
 
Join Date: Sun Aug 2008
Location: Getini ikulu
Posts: 409
Thanks: 3
Thanked 6 Times in 6 Posts
Rep Power: 22
Lagatege will become famous soon enoughLagatege will become famous soon enoughLagatege will become famous soon enoughLagatege will become famous soon enoughLagatege will become famous soon enoughLagatege will become famous soon enoughLagatege will become famous soon enoughLagatege will become famous soon enough
Default Re: Mwanamke Mwenye Kiuno Chembamba Kama Nyigu

Quote:
View Post
So, you joined JF because of this?
Hahahaha! sipo hapo umeua kabisaaaa.
__________________
"Kila kukicha afadhali ya jana" Mrisho Mpoto-poet
Reply With Quote
  #13  
Old 7th July 2009, 06:05 PM
Abdulhalim's Avatar
Abdulhalim Abdulhalim is offline
Abdulhalim is enjoying his sabbatical leave
JF Senior Expert Member
Points: 360,879, Level: 100 Points: 360,879, Level: 100 Points: 360,879, Level: 100
Activity: 80% Activity: 80% Activity: 80%
 
Join Date: Fri Jul 2007
Posts: 7,250
Thanks: 299
Thanked 861 Times in 562 Posts
Rep Power: 37
Abdulhalim will become famous soon enoughAbdulhalim will become famous soon enoughAbdulhalim will become famous soon enoughAbdulhalim will become famous soon enoughAbdulhalim will become famous soon enoughAbdulhalim will become famous soon enoughAbdulhalim will become famous soon enoughAbdulhalim will become famous soon enough
Default Re: Mwanamke Mwenye Kiuno Chembamba Kama Nyigu

Quote:
View Post
Babuu kubwa! AMEOLEWA? KAMA AMEOLEWA ANA WATOTO WANGAPI? KAMA AJAOLEWA NAOMBA UNIUNGANISHE NAYE TAFADHARI E-MAIL SALEHE.NDANDA@YAHOO.COM
ASANTE.
MBONENYAI.
Mazee unataka 'kuzingatia' hata mbuzi wa sadaka? lahaula lakwata!
__________________
Avatar's Msg: Hiyo ni trailer ya wapenda kula vya watu. Ha ha ha..
Reply With Quote
  #14  
Old 10th July 2009, 03:07 PM
Grader Grader is offline
Grader has no status.
Senior Member
Points: 76,680, Level: 100 Points: 76,680, Level: 100 Points: 76,680, Level: 100
Activity: 0% Activity: 0% Activity: 0%
 
Join Date: Mon Feb 2009
Posts: 52
Thanks: 1
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 22
Grader will become famous soon enoughGrader will become famous soon enoughGrader will become famous soon enoughGrader will become famous soon enoughGrader will become famous soon enoughGrader will become famous soon enoughGrader will become famous soon enoughGrader will become famous soon enough
Default Re: Mwanamke Mwenye Kiuno Chembamba Kama Nyigu

Hii haikubaliki kuwa na 3cm labda hana nyama na kama mifupa siyo 3cm?
biologically human body configaration haiwezi kuwa hivyo.
umetoa kwenye kitabu kipi na amepata tuzo ipi au ameingizwa kwenye kitabu cha guines mwaka gani?
Reply With Quote
Reply

Bookmarks

Tags
chembamba, kama, kiuno, mwanamke, mwenye, nyigu


Currently Active Users Viewing This Thread: 1 (0 members and 1 guests)
 
Thread Tools
Display Modes Rate This Thread
Rate This Thread:

Posting Rules
You may not post new threads
You may not post replies
You may not post attachments
You may not edit your posts

BB code is On
Smilies are On
[IMG] code is On
HTML code is Off
Trackbacks are Off
Pingbacks are Off
Refbacks are On


Similar Threads
Thread Thread Starter Forum Replies Last Post
Majambazi Arusha: Mabomu, Bunduki, Risasi, Bastola - Hii ni Kashfa JWTZ Hasara Jukwaa la Siasa 225 11th December 2009 03:53 PM
Juisi ya pilipili Mungu Paulo OsamaBinLaden Habari na Hoja mchanganyiko 2 10th June 2009 02:10 AM
Bajeti Mbadala 2007/08 John Mnyika Business & Economic Forum 30 21st June 2007 10:08 PM

Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako!


All times are GMT +3. The time now is 04:48 AM.

Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com