Docta wa vichaa alikutana mtaani na kichaa mmoja aliyetoroka kambini. Akamuuliza;kwanini upo nje ya kambi?,yule kichaa akamjibu:"Wale wenzangu wapo boarding na mimi nipo day"!

hhahahahaha...............kwah iyo anaenda kambini na kurudi.
***** ilo
Huyo kapona!
Follow Us Here