wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Kakakiiza, hata kama nimeikosa pilau uliyoiandaa kwa wageni waalikwa, nashukuru kwamba hukuniacha mbali. Du! siku nyingine ni vizuri kupigiana simu bwana, mtandao ulilala ndio leo unaamka na pilau ndiyo hiyooooooooo! Thanx anyway.
Thanks KakaKiiza sikuona hii mapema maana nilikuwa nakula ndizi huko kusikofikika net..... Laaaaaaaaa nimemiss mengi! bado kuna masalia?
Mkuu hakuna shaka karibu tugonge hata Valeur moja
By Lekanjobe Kubinika
Kakakiiza, hata kama nimeikosa pilau uliyoiandaa kwa wageni waalikwa, nashukuru kwamba hukuniacha mbali. Du! siku nyingine ni vizuri kupigiana simu bwana, mtandao ulilala ndio leo unaamka na pilau ndiyo hiyooooooooo! Thanx anyway.
Mkuu haina tabu sikuku zipo nyingi hata weeked ni siku kuu kaka nikujipanga karibu sana!
Its only crazy who will be against to CDM!,only a fool who will fly CCM flag while is hungry!!
Ahaaaa mbona yeye sikumuona??Mwambie mimi ni ndugu yake!!aachane na tofauti zilizopo kwani ni yeye alizisababisha!
Ha ha ha,
Kumuona kwenye lile tatizo la 31st Aug au Mnuso wa EID??.
Anyway, kanihadithia story moja ya rafiki yake/yenu mmoja hivi ambae mlikua nae pale kwake nikacheka sana aisee.
Follow Us Here