Je,unasumbuliwa na ndege waharibifu kwenye shamba lako la mpunga?.Usipate tabu,fanya kama ifuatavyo;jitahidi kuwakamata japo ndege kumi waharibifu~>Wakate miguu yao kisha ikaange mpaka ibaki majivu~>Yale majivu changanya na maji kisha nenda kayapake hayo majivu kona zote za shamba lako. Baada ya kufanya hivyo kuwa huru kufanya shughuli zako kwani ndege waharibifu wote watafanya shamba lako kama sehemu ya kupumzikia tu,njaa ikiwauma watakwenda mashamba ya jirani zako.SOURCE:Mzee mmoja mkulima wa mpunga kijiji cha Mvumi,wilayani Kilosa.

Reply With Quote



Follow Us Here