-alo juu mgoje chini.
-msafiri kafiri
-ukubwa dawa
-mgaagaa na upwa hali wali mkavu
-...n.k
Nanyi ongezenu munayokumbukam pia bakita km wanasoma wafanye marekebisho
-alo juu mgoje chini.
-msafiri kafiri
-ukubwa dawa
-mgaagaa na upwa hali wali mkavu
-...n.k
Nanyi ongezenu munayokumbukam pia bakita km wanasoma wafanye marekebisho
mtembea bure si mkaa bure...
riziki ya mbwa ipo mguuni..
Mwenda tezi na omo marejeo ngamani
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Chema chajiuza kibaya chajitembeza.
mliochangia wooote waongo, kumbukeni kuwa msemo hujidhihirisha ukweli wake pale unapotendea sawa sawa na unavyosema. hakuna kupitwa na wakati.
Nguv mpya,hali mpya na kasi mpya..
ngangari vs ngunguri
nkinywa maji nakuona kwenye glass
Usiku silali nakuota wewe!
Hahaha thx me370 naamin jogi atakubaliana na ww. Umenikumbusha hii:
Kidumu chama cha ma.....
Zidumu fikra za mwenye....
Na....
Hahaha yaana mpaka najihisi raha kwi kwi kwi...
www.oric.co.tz and www.aio.co.tz
mkaidi hafaidi mpaka siku ya idi na simba mwenda pole ndo mla nyama
dalili za mvua eti mawingu ukimpiga bundi atakutokea 9te
sitaki hata kujua historia!
Navyokupenda afrodenzi Nitakununulia Treni
Mvumilivu hula mbivu...!
mwenda pole hajikwai
nikisonga ugali nakuona kwenye mwiko
eti nikisonga ukali nakuona kwenye mwiko,samaki 1 akioza ni wote,
Follow Us Here