-alo juu mgoje chini.
-msafiri kafiri
-ukubwa dawa
-mgaagaa na upwa hali wali mkavu
-...n.k
Nanyi ongezenu munayokumbukam pia bakita km wanasoma wafanye marekebisho
-alo juu mgoje chini.
-msafiri kafiri
-ukubwa dawa
-mgaagaa na upwa hali wali mkavu
-...n.k
Nanyi ongezenu munayokumbukam pia bakita km wanasoma wafanye marekebisho
Kuna watu walisoma kipindi cha migomo baridi ya waalimu,hata kutofautisha METHALI na MISEMO wanashndwa!!
nikifumba macho naona **** lako.
LIMPETA
Ngoja ngoja huumiza matumbo
Samaki mmoja akioza wote wameoza!
Siku hizi kuna majokofu, kwa hiyo unamtoa yule aliyeoza wengine unawaweka kwenye jokofu.
Mtaka cha uvunguni sharti ainame
hahahahahahhah Duduwasha vituko bado hujaacha tu ..
life goes on.....
Mficha uchi hazai
Kila chenye mwanzo...' vingne havinaga mwisho
Haba na haba hujaza kibaba (vbaba vya sikuhizi havijai cjui vna leakage?)
ccm itatawala milele...ni miongoni mwa misemo iliyopitwa na wakati!
Follow Us Here